Makamu Wa Rais Dkt.mpango Akabidhi Zawadi Za Krismass
HomeHabari

Makamu Wa Rais Dkt.mpango Akabidhi Zawadi Za Krismass

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango  tarehe 24 desemba 2021 amekabidhi zawadi mbalimbali za sikukuu za K...

LIVE: Mama Samia Suluhu anaapishwa kuwa Rais wa Tanzania
Makamu Wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan Kuapishwa Leo
Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo March 19


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango  tarehe 24 desemba 2021 amekabidhi zawadi mbalimbali za sikukuu za Krismasi na mwaka mpya katika kituo cha kulea watoto yatima cha Poloni kilichopo Kondoa mkoani Dodoma.

Akikabidhi kwa niaba ya Makamu wa Rais, msaidizi wa Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Emma Liwenga amesema zawadi hizo ni katika kukidhi mahitaji ya watoto hao kipindi hiki cha sikukuu. Amesema Makamu wa Rais ametuma salamu za Upendo na kuwaomba watoto hao kukua katika maadili.

Aidha Dkt Emma amesema Makamu wa Rais amewashukuru waangalizi wa watoto hao kwa kujitoa kwao kuwalea katika maadili mema na kuomuomba Mungu kuendelea kuwabariki Masista na wahudumu wengine katika malezi yao kwa watoto hao.

Kituo hicho cha Poloni kilianzishwa Mwaka 1947 na mpaka sasa kina jumla ya watoto 46 ambao wanapokelewa kuanzia umri wa siku moja tangu kuzaliwa.

Zawadi zilizokabidhiwa ni pamoja na Mchele, Unga wa Ngano, Sabuni, Sukari, Mafuta, vinywaji pamoja na mbuzi wawili.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Makamu Wa Rais Dkt.mpango Akabidhi Zawadi Za Krismass
Makamu Wa Rais Dkt.mpango Akabidhi Zawadi Za Krismass
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhhbjOACOYsv12x0lA2PIH76aklqv4auJgqa-mJDOUvxhkFkGZaa95p-C8brcBXFuFJrNVLrFZL9dhrc7pg9wpSE0oclMzkybfJu4ikM43X2hMBzWROZySdkaeipwE6NDPHKYC74yRrBQODW4-qc3w9PWgFngoN-4G7ATw-QemTtSNk3VoU5lUXntevRw=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhhbjOACOYsv12x0lA2PIH76aklqv4auJgqa-mJDOUvxhkFkGZaa95p-C8brcBXFuFJrNVLrFZL9dhrc7pg9wpSE0oclMzkybfJu4ikM43X2hMBzWROZySdkaeipwE6NDPHKYC74yRrBQODW4-qc3w9PWgFngoN-4G7ATw-QemTtSNk3VoU5lUXntevRw=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/12/makamu-wa-rais-dktmpango-akabidhi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/12/makamu-wa-rais-dktmpango-akabidhi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy