Makamu Wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan Kuapishwa Leo
HomeHabari

Makamu Wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan Kuapishwa Leo

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan anaapishwa asubuhi.hii kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hafla ya kuapishwa kwa Samia Su...

Bashungwa awajulia hali majeruhi ajali Biharamulo,abiria 11 wapoteza maisha
Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 22, 2024
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 22, 202


Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan anaapishwa asubuhi.hii kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hafla ya kuapishwa kwa Samia Suluhu Hassan itafanyika Ikulu jijini Dar es salaam saa 4 asubuhi.

Kuapishwa kwa Mama Samia kunafuatia kifo cha Rais Dkt John Magufuli kilichotokea Machi 17 mwaka huu.

Kwa mujibu wa kifungu cha 37 (5) cha Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyotungwa mwaka 1977, nafasi ya Urais inapokuwa wazi kwa sababu yoyote ikiwemo kifo, Viongozi watatu wameorodheshwa kushika wadhifa huo ambao ni Makamu wa Rais, na endapo hatakuwepo atachukua Spika wa Bunge na kama hayupo atachukua Jaji Mkuu.

Kwa mujibu wa kifungu hicho, baada ya kula kiapo cha Urais, atashauriana na chama chake cha siasa, ambacho kwa sasa ni Chama Cha Mapinduzi (CCM), na Rais atapendekeza jina la mtu atakayekuwa Makamu wa Rais na uteuzi huo utathibitishwa na Bunge kwa kura zisizopungua asilimia hamsini ya wabunge wote.

Hii ni mara ya kwanza katika historia ya Tanzania kwa Rais kufariki akiwa madarakani.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Makamu Wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan Kuapishwa Leo
Makamu Wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan Kuapishwa Leo
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEixAIR6PsXYwg1Ql29bsX_V2nQyDfWCrFn5HeuSwUHsT7yJiChPb1t60nuPAuyOuMIN39srC3cX6J93aXJMbxozI6cD2pDdRSmW8u-khTJyLaunETg_Ye7SyABkiTXGfugnKSf9cW439BK8/s16000/1.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEixAIR6PsXYwg1Ql29bsX_V2nQyDfWCrFn5HeuSwUHsT7yJiChPb1t60nuPAuyOuMIN39srC3cX6J93aXJMbxozI6cD2pDdRSmW8u-khTJyLaunETg_Ye7SyABkiTXGfugnKSf9cW439BK8/s72-c/1.png
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/makamu-wa-rais-mama-samia-suluhu-hassan.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/makamu-wa-rais-mama-samia-suluhu-hassan.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy