Ewura yaiagiza Tanesco kupunguza bei ya umeme
HomeHabariKitaifa

Ewura yaiagiza Tanesco kupunguza bei ya umeme

Akitoa agizo hilo jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Felix Ngamlagosi amesema kutokana na mabadiliko kwenye bei ya maf...

WABUNGE WAMTIMUA TENA WAZIRI NYALANDU
Vurugu Burundi: Wakimbizi 800 Waingia Nchini
Tanzania Yachafuka Tena: Meli Yenye Usajili wa Tanzania Yakutwa na Tani 3 za Cocaine Uingereza





Akitoa agizo hilo jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Felix Ngamlagosi amesema kutokana na mabadiliko kwenye bei ya mafuta, thamani ya shilingi na mfumuko wa bei, gharama za kununua umeme zinatakiwa zishuke kwa asilimia 2.21.

Dar es Salaam. Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeliagiza Shirika la Umeme nchini (Tanesco) kupunguza bei za umeme kuanzia Machi Mosi mwaka huu.


Akitoa agizo hilo jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Felix Ngamlagosi amesema kutokana na mabadiliko kwenye bei ya mafuta, thamani ya shilingi na mfumuko wa bei, gharama za kununua umeme zinatakiwa zishuke kwa asilimia 2.21.


Akifafanua amesema wateja wenye matumizi ya kawaida, bei ya umeme itashuka kutoka sh306 kwa uniti hadi sh298 kwa uniti sawa na punguzo la sh8 kwa uniti moja.


Amesema mwananchi anayenunua umeme wa sh10, 000 anapata uniti 32.6 hivi sasa, lakini baada ya punguzo hilo kwa fedha hiyo hiyo atapata uniti 33.5. Marekebisho hayo ni kwa bei ya kununua uniti ya umeme na si kwa tozo za mwezi za utoaji huduma.


“Wateja wenye biashara ndogo ndogo ambao wapo kwenye kundi la T2 wao bei zitashuka kwa sh5, wateja wa viwanda vya kati bei zitashuka kwa sh4, wateja wa viwanda vikubwa na migodi likiwemo Shirika la Umeme Zanzibar wao bei itashuka chini kwa sh3 kwa kila uniti moja,” amesema Ngamlagosi. Hata hivyo, amesema wateja wanaotumia umeme chini ya uniti 75 kwa mwezi ambao hununua uniti moja kwa sh100 hawatanufaika na punguzo hilo kwa kuwa wanapata ruzuku kutoka kwa wateja wakubwa
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Ewura yaiagiza Tanesco kupunguza bei ya umeme
Ewura yaiagiza Tanesco kupunguza bei ya umeme
http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2623016/highRes/945142/-/maxw/600/-/rbgr9/-/umeme%252Bclip.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/02/ewura-yaiagiza-tanesco-kupunguza-bei-ya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/02/ewura-yaiagiza-tanesco-kupunguza-bei-ya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy