Simba SC Wamtangaza Kocha wao Mpya
HomeHabari

Simba SC Wamtangaza Kocha wao Mpya

MABINGWA wa Tanzania, Simba SC wameingia mkataba wa miaka miwili na Kocha Pablo Franco Martín  raia wa Hispania kukinoa kikosi hicho kuan...

Uhuru Kenyatta na Joe Biden wa Marekani kukutana kwa mara ya kwanza Ikulu White House
Prof. Mchome: Wanaotumia Kesi Za Ubakaji Kama Kitega Uchumi Wachukuliwe Hatua
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo October 14


MABINGWA wa Tanzania, Simba SC wameingia mkataba wa miaka miwili na Kocha Pablo Franco Martín  raia wa Hispania kukinoa kikosi hicho kuanzia  Novemba 6, 2021.

Pablo anachukua nafasi ya Didier Gomes Da Rosa raia wa Ufaransa ambaye mkataba wake  ulisitishwa wiki mbili zilizopita baada ya makubaliano ya pande mbili.

Kabla ya kujiunga na Simba alikuwa anafundisha timu ya Al Qadsia SC ya Quwait kuanzia mwaka 2019 hadi 2021.
 

Pablo mwenye umri wa miaka 41, mzaliwa wa Madrid,  alikuwa kocha Msadizi wa Real Madrid mwaka 2018 chini ya Kocha Julen Lopetegui na baadae Santiago Solari.

Mwaka 2015 alikuwa kocha wa Getafe inayoshiriki Ligi Kuu ya Hispania



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Simba SC Wamtangaza Kocha wao Mpya
Simba SC Wamtangaza Kocha wao Mpya
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEi0vkedZqJxU7XwNRIffyYAdRoyUyJ9O85-o6paJ2jgbV-0CXOqZgcHf1gMbvZUDSI99vWviNyK6otiDn2wohWmbdT3Q8Ocy6u-aUY-G528jZixqUbQXfQN075NV8aWoX_rf8SXLxKUm8FCJ92TGwXb8i4PqCYZMXgGaQwrLulQYO5FNGmk3zAP8jkS2g=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEi0vkedZqJxU7XwNRIffyYAdRoyUyJ9O85-o6paJ2jgbV-0CXOqZgcHf1gMbvZUDSI99vWviNyK6otiDn2wohWmbdT3Q8Ocy6u-aUY-G528jZixqUbQXfQN075NV8aWoX_rf8SXLxKUm8FCJ92TGwXb8i4PqCYZMXgGaQwrLulQYO5FNGmk3zAP8jkS2g=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/11/simba-sc-wamtangaza-kocha-wao-mpya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/11/simba-sc-wamtangaza-kocha-wao-mpya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy