PACHA YA MUGALU NA BOCCO YAMKOSHA KOCHA SIMBA
HomeMichezo

PACHA YA MUGALU NA BOCCO YAMKOSHA KOCHA SIMBA

  K OCHA  Msaidizi  wa Simba, Selemani  Matola, amefunguka  kwamba benchi la  ufundi wanakoshwa na  aina ya pacha ya washambuliaji wao,  J...

MBAPPE AWACHANA MASTAA WENZAKE PSG KIMTINDO
SIMBA YALIA NA ISHU YA VIWANJA KUSHINDWA KUWA RAFIKI KWAO
SIMULIZI YA ALIYEKUWA ANASUMBULIWA NA NDOTO MBAYA USIKU

 KOCHA Msaidizi wa Simba, Selemani Matola, amefunguka kwamba benchi la ufundi wanakoshwa na aina ya pacha ya washambuliaji wao, John Bocco na Chris Mugalu.

Kocha huyo ameongeza kwamba wanafurahishwa na mwenendo wa wawili hao kwa kuwa wamekuwa wanafunga mabao muhimu katika mechi za timu hiyo.


Bocco na Mugalu wamekuwa wakianza kwa pamoja katika mechi nne mfululizo za mashindano yote kuanzia kwenye mechi dhidi ya Kaizer Chiefs, Dodoma Jiji, Namungo FC na Ruvu Shooting.

 

Matola amesema: “Tulianza na wawili hao katika mechi na Ruvu kwa ajili ya kufunga, na kweli tukafunga mabao muhimu kwa ajili ya timu kisha baadaye tukamtoa mmoja na kuingiza kiungo.


“Lakini siyo hao tu kwa kuwa tuna kikosi kipana tumekuwa na pacha nyingi katika timu, na wakicheza wanakuwa wanacheza vizuri jambo ambalo ni faida kwetu.”



Kwenye msimamo Simba ipo nafasi ya kwanza ikiwa na pointi 67 ikiwa imecheza jumla ya mechi 27 wapinzani wao wakubwa ni Yanga wao wapo nafasi ya pili wakiwa na pointi 61. 


Mechi ya mwisho ambapo walicheza mbele ya Ruvu Shooting wakati ubao ukisoma Ruvu Shooting 0-3 Simba nyota hao walitupia mabao yote hayo ambapo Bocco alifunga mabao mawili na Mugalu alitupia bao moja.





Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: PACHA YA MUGALU NA BOCCO YAMKOSHA KOCHA SIMBA
PACHA YA MUGALU NA BOCCO YAMKOSHA KOCHA SIMBA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjiG170eaa3yGJkqJp6hH0z65z3TVseZlQXcv6Kcmaz_L1lv29PD0AKGM5H346Mr8TruP2Bvu2J5dcl51xUBYcg4Et5SwfcuU9nd4159rLCHqhgVYxgGN-sZD4x16pYwmm2QXjDyjlVQY6i/w640-h426/Bocco+v+Ruvu+Shooting.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjiG170eaa3yGJkqJp6hH0z65z3TVseZlQXcv6Kcmaz_L1lv29PD0AKGM5H346Mr8TruP2Bvu2J5dcl51xUBYcg4Et5SwfcuU9nd4159rLCHqhgVYxgGN-sZD4x16pYwmm2QXjDyjlVQY6i/s72-w640-c-h426/Bocco+v+Ruvu+Shooting.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/pacha-ya-mugalu-na-bocco-yamkosha-kocha.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/pacha-ya-mugalu-na-bocco-yamkosha-kocha.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy