Rais Samia Awatunuku Cheti Na Nishani Ya " Medal Of Gold" Dkt Gwajima Na Dkt. Jingu Kwa Utumishi Uliotukuka
HomeHabari

Rais Samia Awatunuku Cheti Na Nishani Ya " Medal Of Gold" Dkt Gwajima Na Dkt. Jingu Kwa Utumishi Uliotukuka

Na. WAMJW Rais wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amewatunuku Cheti na Nishani Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee n...

Kinana Ataka Waliotajwa Ripoti Ya Cag Hatua Zichukuliwe
Ulinzi Waimarishwa Katika jiji la Arusha Kuelekea Uzinduzi Wa Royal Tour AICC Kesho
Nafasi Mpya Za Kazi Zilizotangazwa Leo Serikalini, Umoja wa Mataifa Tanzania Na Tenda Mbalimbali

Na. WAMJW

Rais wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amewatunuku Cheti na Nishani Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dorothy Gwajima na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Dkt John Jingu kwa utumishi uliotukuka na kuchambua mchango wao katika utekelezaji wa majukumu yao.

 

Akipokea Cheti na Nishani hiyo aliyokabidhiwa kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mlezi wa Chama cha Skauti. Bi Mwantumu B. Mahiza jijini Dar Es Salaam Waziri Dkt Gwajima amemshukuru Rais Samia Suluhu kwa kutambua mchango wake katika kuwatumikia wananchi akiwa ni Waziri wa Sekta ya Afya na Maendeleo ya Jamii.

 

Taasisi ya Skauti Tanzania hutoa cheti na nishani ya "Medal of Gold" kwa Viongozi mbalimbali kutambua mchango wao katika kutekeleza majukumu yao.

 

Aidha Dkt. Gwajima amewashukuru watumishi na wadau wote wa Sekta ya Afya na Maendeleo ya Jamii na kusema kuwa cheti na nishani hiyo ni heshima kwa Wadau wote wa Sekta ya Afya na itachochea zaidi Ari na Kasi ya kazi katika kushirikiana na Skauti Tanzania.

 

"Hii nishani siwezi kusema ni yangu bali ni yangu na wenzangu wote katika Wizara ninayoitumikia. Niwashukuru sana watumishi na wadau wanaofanya kazi na Wizara katika kutekeleza majukumu yetu ya kuihudumia jamii", amesema Mhe. Gwajima.

 

Katika hatua nyingine Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii) Dkt. John Jingu naye pia ametunukiwa nishani ya utumishi uliotukuka katika kupambana na ukatili dhidi ya watoto kutoka kwa Taasisi ya Skauti Tanzania.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Rais Samia Awatunuku Cheti Na Nishani Ya " Medal Of Gold" Dkt Gwajima Na Dkt. Jingu Kwa Utumishi Uliotukuka
Rais Samia Awatunuku Cheti Na Nishani Ya " Medal Of Gold" Dkt Gwajima Na Dkt. Jingu Kwa Utumishi Uliotukuka
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEj9y_959ZrfVdqdhyfwp2DuoBfGjvq7k4PMOhHvsnEQwni4QnN2MQtkph5xPsWz7ntjnVv014ePpD5lT2gv0rsmtVJvtGQg9P6dzmb1q3gX51DjaOm5xWbpzwQ9DKhGiLrBk4IbaHiZvxP5HxASeGoVK8ZWzMN-lPnM6dJLZ_I-Gdv3B3PMVRCxv3cutQ
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEj9y_959ZrfVdqdhyfwp2DuoBfGjvq7k4PMOhHvsnEQwni4QnN2MQtkph5xPsWz7ntjnVv014ePpD5lT2gv0rsmtVJvtGQg9P6dzmb1q3gX51DjaOm5xWbpzwQ9DKhGiLrBk4IbaHiZvxP5HxASeGoVK8ZWzMN-lPnM6dJLZ_I-Gdv3B3PMVRCxv3cutQ=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/11/rais-samia-awatunuku-cheti-na-nishani.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/11/rais-samia-awatunuku-cheti-na-nishani.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy