Spika Ndugai Amvua Humphrey Polepole Uenyekiti Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa.
HomeHabari

Spika Ndugai Amvua Humphrey Polepole Uenyekiti Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa.

 Spika wa Bunge, Job Ndugai, amefanya mabadiliko madogo ya wajumbe wa kamati za kudumu za Bunge kwa kuzingatia matakwa ya Kanuni za Kudu...

Msimamizi Uchaguzi Kasulu ametoa maelezo Uchaguzi kuzingatia 4R za Rais Samia
Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 27, 2024
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 27, 2024


 Spika wa Bunge, Job Ndugai, amefanya mabadiliko madogo ya wajumbe wa kamati za kudumu za Bunge kwa kuzingatia matakwa ya Kanuni za Kudumu za Bunge Toleo la Juni 2020.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana na Ofisi ya Bunge, mabadiliko hayo yanawagusa wabunge: Godwin Kunambi anayehamishwa kutoka Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama kwenda Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii na Humphrey Polepole anayehamishwa kutoka Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa kwenda Kamati ya Sheria Ndogo.

Kutokana na mabadiliko hayo, Polepole ambaye ni Mbunge wa Kuteuliwa, anapoteza nafasi aliyokuwa nayo ya Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa.

Mabadiliko yaliyofanywa na Spika Ndugai pia yamewagusa wabunge: Asia Halamga, aliyeteuliwa kuwa Mjumbe ya Kamati ya Masuala ya UKIMWI; Dk. Faustine Ndugulile aliyeteuliwa kuwa mjumbe wa Kamati ya Sheria Ndogo na Kamati ya Masuala ya UKIMWI.

Aliyekuwa Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, ameteuliwa kuwa mjumbe wa Kamati ya Sheria Ndogo; aliyekuwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Dk. Leonard Chamuriho, ameteuliwa kuwa mjumbe wa Kamati ya Sheria Ndogo; na Agnes Marwa ameteuliwa kuwa mjumbe wa Kamati ya Masuala ya UKIMWI.

 



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Spika Ndugai Amvua Humphrey Polepole Uenyekiti Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa.
Spika Ndugai Amvua Humphrey Polepole Uenyekiti Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa.
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiVQ47Z5_CXSD57Qj8-51Tz0fGLfJuWaPSbaNDkN9VVlBwFtCODOAKIsHiQy9C9OEykXHDLPR2WSTvSRct6RTZu5LY4sN5v1pf1M9Sg-G9GF-DlIW2pU6RhbV3S5q-pXyEgtm0ahkl2h6dUQ1jNte0N3yxIGUePGRGzYu-TZ64WjPRoSaE3XfBzcBA5zg=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiVQ47Z5_CXSD57Qj8-51Tz0fGLfJuWaPSbaNDkN9VVlBwFtCODOAKIsHiQy9C9OEykXHDLPR2WSTvSRct6RTZu5LY4sN5v1pf1M9Sg-G9GF-DlIW2pU6RhbV3S5q-pXyEgtm0ahkl2h6dUQ1jNte0N3yxIGUePGRGzYu-TZ64WjPRoSaE3XfBzcBA5zg=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/spika-ndugai-amvua-humphrey-polepole.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/spika-ndugai-amvua-humphrey-polepole.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy