JUMA Kaseja, nahodha wa KMC amesema kuwa walifanya makosa mengi kipindi cha kwanza jambo ambalo liliwapa nafasi wapinzani kuweza kushinda mb...
JUMA Kaseja, nahodha wa KMC amesema kuwa walifanya makosa mengi kipindi cha kwanza jambo ambalo liliwapa nafasi wapinzani kuweza kushinda mbele yao na kupata pointi tatu.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Jana, Julai 7, Uwanja wa Mkapa ubao ulisoma KMC 0-2 Simba na mabao yote yalifungwa kipindi cha kwanza.
Pia Kaseja amesema kuwa muda wake wa kustaafu kwa sasa bado kwa kuwa bado anacheza.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS