MBAPPE AWACHANA MASTAA WENZAKE PSG KIMTINDO
HomeMichezo

MBAPPE AWACHANA MASTAA WENZAKE PSG KIMTINDO

STAA wa Paris Saint Germain,(PSG) Kylian Mbappe ameweka wazi kuwa wanatakiwa kufanya mambo ya pamoja na kushirikiana ili kuweza kufikia m...

KMC NGUVU ZOTE SASA MKWAKWANI KWA COASTAL UNION
DIRRA AFICHUA KILICHO NYUMA YA UBORA WAKE
AZAM FC MALENGO YAO YAPO KWENYE TAJI

Mbappe amesema kuwa yeye pamoja na Neymar Jr na Lionel Messi wakiwa mbele kwenye safu ya ushambuliaji ikiwa watashirikiana basi ana uhakika kwamba watafanya vizuri kwa msimu huu wa 2021/22.

Hivi karibuni Mbappe alionekana akimkosoa Neymar kutokana na kitendo cha yeye kushindwa kumpa pasi uwanjani jambo ambalo lilionekana kuwa gumzo kwa mastaa hao ghali wenye uwezo mkubwa wa kucheza na mpira namna ambavyo wanataka.

Kwa sasa timu ya PSG inatajwa kuwa ni timu yenye washambuliaji mahiri na uwezo mkubwa ila wamekuwa wakishindwa kuwa na ushirikiano mzuri jambo ambalo lilifanya iweze kupata kichapo cha mabao 2-0 dhidi ye Rennes kwenye mchezo wa Ligue 1 uliochezwa Oktoba 3.

"Pale unapocheza na wachezaji wa daraja la juu inahitajika kufanya vitu kwa kushirikiana ili muweze kufanya vitu kwa urahisi hutakiwi kusema kuwa mpe yule pasi yule usimpe,". 


Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MBAPPE AWACHANA MASTAA WENZAKE PSG KIMTINDO
MBAPPE AWACHANA MASTAA WENZAKE PSG KIMTINDO
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEi_kSXdXS4QHzXuPknd-e_eFacSCub-3ID-vFSFU6nugFrGLR-rLBXwBvGiZZ4dcesk9HwtDfiDp2-p2zQCscc4huWVMlSDZ4sqaSt6q2sCEA1W0M8hz4_1ThUtXPp_rik7YysHXvj6ZLSiOaLoo9GVP1adoo4wr943ien1W8JJhbxU81AtV7Gsjq_7KA=w640-h428
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEi_kSXdXS4QHzXuPknd-e_eFacSCub-3ID-vFSFU6nugFrGLR-rLBXwBvGiZZ4dcesk9HwtDfiDp2-p2zQCscc4huWVMlSDZ4sqaSt6q2sCEA1W0M8hz4_1ThUtXPp_rik7YysHXvj6ZLSiOaLoo9GVP1adoo4wr943ien1W8JJhbxU81AtV7Gsjq_7KA=s72-w640-c-h428
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/mbappe-awachana-mastaa-wenzake-psg.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/mbappe-awachana-mastaa-wenzake-psg.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy