Majina ya walioajiriwa na kupangiwa Vituo Wizara ya Afya July, 2021
HomeHabari

Majina ya walioajiriwa na kupangiwa Vituo Wizara ya Afya July, 2021

Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Idara Kuu ya Afya, Prof. Abel Makubi, amesema kuwa serikali imewait...

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo April 24
Nchi Wanachama SADC Kuanzisha Kituo Cha Huduma Za Kibinadamu
Serikali Imejipanga Kutokomeza Utapiamlo Nchini

Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Idara Kuu ya Afya, Prof. Abel Makubi, amesema kuwa serikali imewaita kazini watumishi wa afya 473 kati ya watumishi 19,757 walioomba nafasi za kazi kwenye kada mbalimbali za afya ndani ya Wizara hiyo.


==>Bofya Hapa Kupakua Majina ya walioajiriwa na kupangiwa Vituo Wizara ya Afya July, 2021  

 
Akizungumza jana Julai 5, 2021, Jijini Dodoma Prof. Makubi amesema katika kuwapata waombaji wa kujaza nafasi zinazohitajika vigezo vya ziada vilitumika ambavyo waombaji wenye ulemavu walipewa kipaumbele, waliohitimu elimu mwaka 2018 na kurudi nyuma wenye ajira za mkataba wa muda na wenye umri chini ya miaka 45.

Profesa Makubi amesema kuwa nafasi hizo za ajira ni mgawanyo wa kada mbalimbali zinazotokana na watumishi kukoma utumishi wao kwa sababu mbalimbali kama vile kuacha kazi, kufariki ama kustaafu.

==>Bofya Hapa Kupakua Majina ya walioajiriwa na kupangiwa Vituo Wizara ya Afya July, 2021 



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Majina ya walioajiriwa na kupangiwa Vituo Wizara ya Afya July, 2021
Majina ya walioajiriwa na kupangiwa Vituo Wizara ya Afya July, 2021
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj-66Ic5FtzI7N5tPicFvaJnncM-i_SpAxPVWg6YLFWdEXbHXBKjz-daXSWA6k69_axJdJdjwtcD1CqmP1lVmxGxPAB8Z9jTWRoolSJbKbbpQrLQvcg1q_wCJ25so7zRN3KfhwK67rj0sVI/s0/5.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj-66Ic5FtzI7N5tPicFvaJnncM-i_SpAxPVWg6YLFWdEXbHXBKjz-daXSWA6k69_axJdJdjwtcD1CqmP1lVmxGxPAB8Z9jTWRoolSJbKbbpQrLQvcg1q_wCJ25so7zRN3KfhwK67rj0sVI/s72-c/5.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/majina-ya-walioajiriwa-na-kupangiwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/majina-ya-walioajiriwa-na-kupangiwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy