Kijana Auawa na Baba Yake Mzazi Baada Ya Kutorosha Binti kwa Mila za Kisukuma za "Chagulaga" Na Kumtambulisha Kama Mke
HomeHabari

Kijana Auawa na Baba Yake Mzazi Baada Ya Kutorosha Binti kwa Mila za Kisukuma za "Chagulaga" Na Kumtambulisha Kama Mke

Kijana aliyejulikana kwa jina Nchimwa Magidu Ndula (22) mkazi wa Madalawa amefariki dunia baada ya kupigwa fimbo sehemu mbalimbali za mw...

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo June 29
Jamii Yatakiwa Kushiriki Mapambano Dhidi Ya Ukatili Wa Kijinsia
Dc Busega aanza na kwa kusimamia ushuru wa ndani


Kijana aliyejulikana kwa jina Nchimwa Magidu Ndula (22) mkazi wa Madalawa amefariki dunia baada ya kupigwa fimbo sehemu mbalimbali za mwili wake na baba yake mzazi aitwaye Magidu Ndula Jisusi (55) baada ya kijana huyo kumtorosha binti aliyetaka kumuoa na kumpeleka kwao kama mke .
Kwa mujibu wa Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida Stella Mutabihirwa tukio hilo limetokea Oktoba 8, 2021 majira ya saa 10 alfajiri katika kitongoji cha Madalawa kijiji cha Mlandala kata ya Urughu wilaya ya Iramba mkoani Singida.

 Chanzo cha mauaji hayo kinadaiwa kuwa Magidu kwenda katika sherehe za jamii ya kisukuma na kujichagulia msichana kwa utamaduni wa kabila hilo wa 'chagulaga', lakini mzazi huyo hakufurahia hatua hiyo kutokana na kudaiwa mahari kubwa ya ng’ombe.

Kutokana na kutofurahishwa na kitendo hicho, mzazi huyo anadaiwa alipomtaka mwanawe amruhusu msichana kurejea kwao, aligoma.

"Nchimwa Magidu Ndula (22) mkazi wa Madalawa alifariki dunia baada ya kupigwa fimbo sehemu mbalimbali za mwili wake na baba yake mzazi aitwaye Magidu Ndula Jisusi (55) mkazi wa Madalawa

"Jeshi la polisi limefanya uchunguzi wa awali na kubaini kuwa marehemu alipigwa akiwa nje ya nyumba yao alipokuwa anaishi na wazazi wake huku chanzo cha tukio hilo kikibainika kuwa ni mgogoro wa kifamilia uliopelekea kutoelewana baina ya marehemu na mtuhumiwa baada ya marehemu kumtorosha binti aliyetaka kumuoa kutoka kwenye himaya ya wazazi wake na kumpeleka kwao kama mke " ,amefafanua.

Amesema tayari Jeshi la polisi la Polisi mkoa wa Singida linamshikilia Magidu Ndula Jisusi (55) kwa mahojiano zaidi kabla ya kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma zinazomkabili.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Kijana Auawa na Baba Yake Mzazi Baada Ya Kutorosha Binti kwa Mila za Kisukuma za "Chagulaga" Na Kumtambulisha Kama Mke
Kijana Auawa na Baba Yake Mzazi Baada Ya Kutorosha Binti kwa Mila za Kisukuma za "Chagulaga" Na Kumtambulisha Kama Mke
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiADl5WInYg7Qi4vLIMqj9VVH3SDNKuQC32AOCHugTQRwQTAG_q8ehiftFsdtqUPkTentQRzMo1dWMOgMdsLQKLD7c9mJvtmR3RDj5hJB88TZXDz1iHdcI_ckJ3NP-HmWxzFhhj91W73zO2l-vYssCUTlMnQRx4sHv6SKfhcN0BcrFSiJJGgZm7MFobwA=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiADl5WInYg7Qi4vLIMqj9VVH3SDNKuQC32AOCHugTQRwQTAG_q8ehiftFsdtqUPkTentQRzMo1dWMOgMdsLQKLD7c9mJvtmR3RDj5hJB88TZXDz1iHdcI_ckJ3NP-HmWxzFhhj91W73zO2l-vYssCUTlMnQRx4sHv6SKfhcN0BcrFSiJJGgZm7MFobwA=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/kijana-auawa-na-baba-yake-mzazi-baada.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/kijana-auawa-na-baba-yake-mzazi-baada.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy