YANGA: TUNAAMINI YALIYOFANYWA NA MAGUFULI YATAENDELEA KUTENDEKA ILI KUMUENZI
HomeMichezo

YANGA: TUNAAMINI YALIYOFANYWA NA MAGUFULI YATAENDELEA KUTENDEKA ILI KUMUENZI

 UONGOZI wa Yanga umesema kuwa unaamini yale ambayo yalikuwa yanafanywa na Rais John Pombe Magufuli ambaye ametangulia mbele za haki yatae...

VIDEO: YANGA: TUNAKWENDA KIGOMA KUPIGA PALEPALE KWENYE MSHONO
EMMANUEL OKWI ATOROKA KAMBINI MISRI
VIDEO: KAULI YA FREDRICK MWAKALEBELA KUHUSU MZEE MPILI

 UONGOZI wa Yanga umesema kuwa unaamini yale ambayo yalikuwa yanafanywa na Rais John Pombe Magufuli ambaye ametangulia mbele za haki yataendelea kufanyika kila wakati ili kumuenzi shujaa wa Afrika.

Magufuli alitangulia mbele za haki Machi 17 kwa maradhi ya moyo na Serikali imetangaza siku 21 za maombolezo ambapo leo Machi 22, mwili wake upo makao makuu ya Tanzania, Dodoma.

Jana Machi 21 ilikuwa ni zamu ya wakazi wa Dar kutoa heshima za mwisho ambapo maelfu ya watu walijitokeza kutoa heshima za mwisho, Uwanja wa Uhuru.

Miongoni mwa wale ambao walijitokeza pia ilikuwa ni pamoja na uongozi, wachezaji pamoja na mashabiki wa Yanga ambao walipata muda wa kutoa heshima za mwisho kisha kuelekea ofisi ya Chama Cha Mapinduzi, (CCM) kusaini kitabu cha maombolezo.

Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Mshindo Msolla amesema:"Tumempoteza shujaa ambaye alikuwa ni kiongozi mpenda maendeleo na watu alikuwa anawepande pia kwa kuwa ameondoka basi hakuna namna nyingine zaidi ya kumuombea.

"Pia tuna amini kwamba yale ambayo alikuwa akiyafanya yataendelea kutimizwa kwa vitendo kwa kuwa Serikali bado ipo na watendaji wake ambao alikuwa akifanya nao kazi bado wapo," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: YANGA: TUNAAMINI YALIYOFANYWA NA MAGUFULI YATAENDELEA KUTENDEKA ILI KUMUENZI
YANGA: TUNAAMINI YALIYOFANYWA NA MAGUFULI YATAENDELEA KUTENDEKA ILI KUMUENZI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjp3L9OtHPD5K5VtDMAtzKf7op-D7u8PTxCp_tvhMvT7ANExs3rp982FN7prc1KwST0yXJJWxzHZ1jRsh3Pg9CCpvxlJPBtcVANuGWZ725LPhDJSujLylfUY9eAHIz6NgON9g6SjBVyXfmF/w640-h424/Msola+na+Magu.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjp3L9OtHPD5K5VtDMAtzKf7op-D7u8PTxCp_tvhMvT7ANExs3rp982FN7prc1KwST0yXJJWxzHZ1jRsh3Pg9CCpvxlJPBtcVANuGWZ725LPhDJSujLylfUY9eAHIz6NgON9g6SjBVyXfmF/s72-w640-c-h424/Msola+na+Magu.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/yanga-tunaamini-yaliyofanywa-na.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/yanga-tunaamini-yaliyofanywa-na.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy