NYOTA wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars,Simon Msuva amesema kuwa mashindano ya kuwania Kufuzu Kombe la Dunia ni magumu huku akibaini...
NYOTA wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars,Simon Msuva amesema kuwa mashindano ya kuwania Kufuzu Kombe la Dunia ni magumu huku akibainisha kwamba waliambiwa watafute goli ndani ya dakika 10.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Jana Msuva alikuwa miongoni mwa wachezaji ambao walikuwa Uwanja wa Mkapa na kuweza kushinda mabao 3-2 dhidi ya Madagascar.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS