Halmashauri lipeni madeni ya wazabuni kuongeza ufanisi katika kazi
HomeHabariTop Stories

Halmashauri lipeni madeni ya wazabuni kuongeza ufanisi katika kazi

Halmashauri ya wilaya ya Geita imeagizwa kulipa madeni wanayodaiwa na wazabuni pamoja na watumishi ili kuwasaidia kuongeza ufanisi katika ka...

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 9, 2024
Tumie teknolojia Kwenye kilimo kujikomboa kiuchumi
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 8, 2024

Halmashauri ya wilaya ya Geita imeagizwa kulipa madeni wanayodaiwa na wazabuni pamoja na watumishi ili kuwasaidia kuongeza ufanisi katika kazi wanazozifanya kwa manufaa ya Halmashauri ya wilaya hiyo.

Wito huo umetolewa na Katibu tawala wa Wilaya ya Geita Lucy Beda wakati wa kikao cha baraza la madiwani wa halmashauri hiyo ambacho kilikuwa maalumu kwaajili ya kufunga hesabu za halmashauri ambapo ameeleza kuwa malimbikizo ya madeni yanapunguza ufanisi wa watumishi kufanya kazi.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Geita Karia Rajabu amesema watalifanyia kazi agizo hilo na tayari taarifa ya hesabu za halmashauri hiyo zipo tayari na zitatumwa kwa Mkaguzi wa hesabu za serikali hivi karibuni.

Aidha Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Geita Charles Kazungu amewaelekeza madiwani kutoa ushirikiano kwa watumishi wakati wanapopita katika maeneo yao kwaajili ya kukusanya mapato.

The post Halmashauri lipeni madeni ya wazabuni kuongeza ufanisi katika kazi first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/pjoeUzA
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Halmashauri lipeni madeni ya wazabuni kuongeza ufanisi katika kazi
Halmashauri lipeni madeni ya wazabuni kuongeza ufanisi katika kazi
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/09/02a402d4-09a6-474a-8aca-adbd30ecd2be-1-950x534.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/09/halmashauri-lipeni-madeni-ya-wazabuni.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/09/halmashauri-lipeni-madeni-ya-wazabuni.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy