Hakuna chama chochote chenye mamlaka ya kuahirisha Uchaguzi
HomeHabariTop Stories

Hakuna chama chochote chenye mamlaka ya kuahirisha Uchaguzi

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amesema kuwa hakuna mtu, chombo cha serikali wala chama chochote kinachoruhus...

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 7, 2025
Endeleeni kutoa elimu ya chanjo kwa akina mama pamoja na elimu ya mabagi
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 6, 2025

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amesema kuwa hakuna mtu, chombo cha serikali wala chama chochote kinachoruhusiwa wala kuwa na mamlaka ya kuahirisha uchaguzi.

Wasira amesema hayo leo Februari 11, 2025 wakati akizungumza katika uwanja wa CCM Kirumba mkoani Mwanza.

“Ibara ya 41 sehemu ya nne ya katiba inaipa Tume mamlaka ya kutangaza tarehe ya uchaguzi, hakuna chama wala chombo chochote chenye mamlaka ya kuahirisha uchaguzi, ibara ya 42 sehemu ya nne inahusu kama inabidi kusogeza mbele sababu yake lazima iwe vita kwamba Tanzania ipo vitani kwahiyo tunasogeza tarehe mbele ili kumaliza vita,” amesema Wasira.

 

The post Hakuna chama chochote chenye mamlaka ya kuahirisha Uchaguzi first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/M85F3Pe
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Hakuna chama chochote chenye mamlaka ya kuahirisha Uchaguzi
Hakuna chama chochote chenye mamlaka ya kuahirisha Uchaguzi
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2025/02/IMG-20250211-WA0020-950x713.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2025/02/hakuna-chama-chochote-chenye-mamlaka-ya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2025/02/hakuna-chama-chochote-chenye-mamlaka-ya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy