STARS WAIPIGIA HESABU MADAGASCAR
HomeMichezo

STARS WAIPIGIA HESABU MADAGASCAR

 KIM Poulsen, Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania,Taifa Stars amesema kuwa kwa sasa akili zote ni kuelekea mchezo wao ujao wa kufuzu K...


 KIM Poulsen, Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania,Taifa Stars amesema kuwa kwa sasa akili zote ni kuelekea mchezo wao ujao wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Madagascar.

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Septemba 7, Uwanja wa Mkapa majira ya saa 10:00 jioni.

Michuano ya Kombe la Dunia inatarajiwa kufanyika nchini Qatar 2022. Stars itashuka uwanjani ikiwa na kumbukumbu ya kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya DR Congo kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa TP Mazembe.

Kim amesema:"Tumerejea Tanzania na tunaenda kujiandaa na mchezo unaofuata ambao ni dhidi ya Madagascar tukiwa uwanja wa nyumbani tutapambana ili kuweza kupata nafasi ya kufuzu.

"Kwa mchezo wetu uliopita ninawapongeza wachezaji kwa kuwa walipambana bila kukata tamaa hivyo nina amini kwa mchezo ujao pia watafanya vizuri,".

Tayari Stars imeanza maandalizi kwa ajili ya mchezo wao huo ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: STARS WAIPIGIA HESABU MADAGASCAR
STARS WAIPIGIA HESABU MADAGASCAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjqUYZs2P3wFbEzvbG0_nylxvrkylHANwdEae_Fga3-szuSEwgHPIBnNsWy2u7HQ3iwWnGTcdxOprz358l6kGYTkHNrrd6I9a6PEK3JOFdanScHUmC3NhuqOE0V4ASPEjlPdU_i94Z1BbO6/w640-h640/241240857_108690141550630_7809065873724625951_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjqUYZs2P3wFbEzvbG0_nylxvrkylHANwdEae_Fga3-szuSEwgHPIBnNsWy2u7HQ3iwWnGTcdxOprz358l6kGYTkHNrrd6I9a6PEK3JOFdanScHUmC3NhuqOE0V4ASPEjlPdU_i94Z1BbO6/s72-w640-c-h640/241240857_108690141550630_7809065873724625951_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/stars-waipigia-hesabu-madagascar.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/stars-waipigia-hesabu-madagascar.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy