KOCHA AZAM FC AKUBALI KUWA MUUNGANIKO BADO TATIZO
HomeMichezo

KOCHA AZAM FC AKUBALI KUWA MUUNGANIKO BADO TATIZO

 BENCHI la ufundi la Azam FC limeweka wazi kwamba bado hakujawa na maelewano mazuri kati ya kiungo Idd Seleman, ‘Nado’ na mshambuliaji m...




 BENCHI la ufundi la Azam FC limeweka wazi kwamba bado hakujawa na maelewano mazuri kati ya kiungo Idd Seleman, ‘Nado’ na mshambuliaji mpya Idris Mbombo jambo ambalo watalifanyia kazi kwa umakini.


Juzi, Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina iliibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Horseed FC ya Somalia kwenye mchezo wa awali wa Kombe la Shirikisho uliochezwa Uwanja wa Azam Complex.

Ni mabao ya Ayub Lyanga kwa kichwa dakika ya 32 aliyefunga kwa kutumia pasi ya Nado,Mbombo dakika ya 72 aliyefunga kwa pasi ya Salum Abubakar, ‘Sure Boy’ aliyekuwa nahodha kwenye mchezo huo na lile la tatu lilipachikwa na Lusajo Mwaikenda dakika ya 78 na lile la Horseed lilipachikwa na IbrahimNor dk 22.


Akizungumza na Saleh Jembe, Kocha Msaidizi wa Azam FC, Vivier Bahati amesema kuwa Nado alikuwa akifanya kazi kubwa ya kutengeneza nafasi ila zilikuwa zinashindwa kufika sehemu sahihi mara kwa mara.


“Kuhusu Nado alikuwa anatengeneza nafasi nyingi ila zimeshindwa kubadilishwa kuwa mabao na hii inatokana na kutokuwa na maelewano yakutosha kati yake na Mbombo, tofauti na ilivyokuwa kwa Prince Dube.


“Kwa muda unavyozidi kwenda imani yetu ni kuona kwamba wanakuwa kitu kimoja na tunaamini kwamba watafanya vizuri kwani wote ni wachezaji wa timu moja na wana uwezo mkubwa hivyo ni suala la kusubiri,” amesema Vivier.


Azam FC wanatarajiwa kumenyana na timu hiyo kwa mara nyingine ikiwa ni mchezo wa marudio, Septemba 18, Uwanja wa Azam Complex.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KOCHA AZAM FC AKUBALI KUWA MUUNGANIKO BADO TATIZO
KOCHA AZAM FC AKUBALI KUWA MUUNGANIKO BADO TATIZO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEivKjE33C1TgQtIQuyrkHRpF2XjhOE7732fmdyIXvWd2vFOeth_LQX_EFQsI6XzyDWrrsebns8cfclHCAfDqrDOqEkOgQmiAPG42wsIYCBuQ-2SJn3EgNSGYx9HXw4z5oxd1MBB1liRUvfv/w640-h640/azamfcofficial-241536722_892780641357750_8723114790511023419_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEivKjE33C1TgQtIQuyrkHRpF2XjhOE7732fmdyIXvWd2vFOeth_LQX_EFQsI6XzyDWrrsebns8cfclHCAfDqrDOqEkOgQmiAPG42wsIYCBuQ-2SJn3EgNSGYx9HXw4z5oxd1MBB1liRUvfv/s72-w640-c-h640/azamfcofficial-241536722_892780641357750_8723114790511023419_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/kocha-azam-fc-akubali-kuwa-muunganiko.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/kocha-azam-fc-akubali-kuwa-muunganiko.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy