NYOTA HAWA WATATU WA YANGA KUIKOSA RIVERS UNITED
HomeMichezo

NYOTA HAWA WATATU WA YANGA KUIKOSA RIVERS UNITED

  KUELEKEA kwenye mchezo wa marudi dhidi ya Rivers United, kikosi cha Yanga kitakosa huduma za nyota wake watatu ambao wanasumbuliwa na m...

VIDEO: LUIS KUFANYIWA VIPIMO AL AHLY, NABI AKOSHWA NA DJUMA NA MULOKO
SIMBA KUYAKOSA MABAO 42 NDANI YA LIGI KUU BARA MAZIMA
CRISTIANO RONALDO:REKODI YANGA NA REAL MADRID IMEANDIKWA

 


KUELEKEA kwenye mchezo wa marudi dhidi ya Rivers United, kikosi cha Yanga kitakosa huduma za nyota wake watatu ambao wanasumbuliwa na majeraha.

Kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kinatarajiwa kusepa leo na watatumia Shirika la Ndege la Tanzania na ndege hiyo itawasubiri mpaka watakapomaliza mchezo wao Jumapili.

Ni mabeki wawili, David Bryson na Yassin Mustaoha ambao hawa bado hawajawa fiti jambo ambalo liliwafanya wakose mchezo wa kwanza, Uwanja wa Mkapa wakati ubao uliposoma Yanga 0-1 Rivers United.

Pia yupo kiungo wao mzawa mwenye uwezo mkubwa ilahajawa fiti ni Mapinduzi Balama, nyota huyu msimu wa 2020/21 hakuweza kuanza mchezo hata mmoja kwa kuwa alikuwa anatibu majeraha yake ila kwa sasa ameanza mazoezi.

Kwa mujibu wa Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Fredrick Mwakalebela amesema kuwa maandalizi yanakwenda vizuri na hali za wachezaji zinadi kutengamaa.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: NYOTA HAWA WATATU WA YANGA KUIKOSA RIVERS UNITED
NYOTA HAWA WATATU WA YANGA KUIKOSA RIVERS UNITED
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiL4il65gxww0GCiYOCni6q1y7ptDq8XPbnf4PaXrlImVreUqjYxHeZ4Z9JOJn-D9AOGCJag2aBvMN_h6t66mrWsaPFACu02k9VymcIPQN7-DNcnBjRw7tsFQIH5L8gFl095vWH2zl80v11/w628-h640/yassaboy24-149829245_832359754008378_2039501396651318103_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiL4il65gxww0GCiYOCni6q1y7ptDq8XPbnf4PaXrlImVreUqjYxHeZ4Z9JOJn-D9AOGCJag2aBvMN_h6t66mrWsaPFACu02k9VymcIPQN7-DNcnBjRw7tsFQIH5L8gFl095vWH2zl80v11/s72-w628-c-h640/yassaboy24-149829245_832359754008378_2039501396651318103_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/nyota-hawa-watatu-wa-yanga-kuikosa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/nyota-hawa-watatu-wa-yanga-kuikosa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy