CRISTIANO RONALDO:REKODI YANGA NA REAL MADRID IMEANDIKWA
HomeMichezo

CRISTIANO RONALDO:REKODI YANGA NA REAL MADRID IMEANDIKWA

MSHAMBULIAJI, Cristiano Ronaldo amesema kuwa kwa sasa habari yake ndani ya Real Madrid imeshaandikwa jambo ambalo linaleta ugumu kwa nyota...

KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA MTIBWA SUGAR LEO KWA MKAPA
ORODHA YA WACHEZAJI 25 WA AZAM FC WALIOIFUATA JKT TANZANIA, DODOMA
YANGA: MASHABIKI TUPIGIENI SIMU, MNAWACHANGANYA WACHEZAJI

MSHAMBULIAJI, Cristiano Ronaldo amesema kuwa kwa sasa habari yake ndani ya Real Madrid imeshaandikwa jambo ambalo linaleta ugumu kwa nyota huyo kuweza kurejea hapo kwa mara nyingine.

Nyota huyo alikuwa anatajwa kurejea Real Madrid inayotumia Uwanja wa Bernabeu na mkataba wake ndani ya Klabu ya Juventus ya Italia umebakisha miezi 12 na hajawaambia mabosi wake kwamba anahitaji kuondoka hapo.

Akiwa na umri wa miaka 36 bado amekuwa na uwezo mkubwa ndani ya uwanja jambo linalozivutia timu nyingi na iliwahi kuelezwa kuwa Manchester United nao pia wanahitaji saini yake ili kumrejesha kwenye timu hiyo.

Pia hata Juventus wenyewe wameeleza kwamba hawajapokea ofa yoyote kutoka timu yoyote ambayo inamhitaji nyota huyo kwa ajili ya kupata saini yake.

Nyota huyo amesema kuwa mengi ambayo yanaendelea juu yake hasa kwenye vyombo vya habari ni tetesi na wapo ambao wanashindwa kumuheshimu jambo ambalo halipendi kuona likitokea.

"Mambo yangu kuhusu Real Madrid tayari yameshaandikwa na ni rekodi. Muda wa miaka nane ambao nimefanya kazi hapo kuna namba na maneno pia ikiwa ni mataji, rekodi na habari. Ninajua kwamba mashabiki walivyo nami ninawaheshimu pia," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: CRISTIANO RONALDO:REKODI YANGA NA REAL MADRID IMEANDIKWA
CRISTIANO RONALDO:REKODI YANGA NA REAL MADRID IMEANDIKWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhgoogW_5iS0CRoTl1J4RWz_cltzYK2fYWvmH2VjqkxbE_Q1yTG5wVSJ8DYnxNVZUSuy77_nLuSeHBwpHNQGT9_Ti52DizxEKWGfAiU3fEaOtKsGrgNtTUlu1w22Gn0xK8QedkeIxwOFuA1nwYN5u2Af5GtkK6rNbcPL56uEU7yYMPQscowv2GCXreuDg=w640-h426
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhgoogW_5iS0CRoTl1J4RWz_cltzYK2fYWvmH2VjqkxbE_Q1yTG5wVSJ8DYnxNVZUSuy77_nLuSeHBwpHNQGT9_Ti52DizxEKWGfAiU3fEaOtKsGrgNtTUlu1w22Gn0xK8QedkeIxwOFuA1nwYN5u2Af5GtkK6rNbcPL56uEU7yYMPQscowv2GCXreuDg=s72-w640-c-h426
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/cristiano-ronaldorekodi-yanga-na-real.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/cristiano-ronaldorekodi-yanga-na-real.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy