ISHU YA MWINYI ZAHERA KUWA MKALIMALI YANGA IPO HIVI
HomeMichezo

ISHU YA MWINYI ZAHERA KUWA MKALIMALI YANGA IPO HIVI

 KOCHA wa zamani wa Yanga ambaye kwa sasa ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Maendeleo ya Soka la Vijana ndani ya klabu hiyo, Mwinyi Zahera, am...


 KOCHA wa zamani wa Yanga ambaye kwa sasa ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Maendeleo ya Soka la Vijana ndani ya klabu hiyo, Mwinyi Zahera, amefunguka kwamba hajarudi Yanga kwa ajili ya kuwa mkalimani, bali ni kufanya kazi maalum aliyopewa na uongozi.


Akizungumza na Spoti Xtra, Zahera alisema: “Watu wanafikiri kuwa pengine nimekuja kufanya kazi ya ukalimani ndani ya Yanga kwa sababu nafahamu kuzungumza Kifaransa na Kiswahili, hapana, mimi nimepewa kazi maalum Yanga kuhakikisha soka la vijana linakua na kuleta faida ndani ya timu.


“Yanga ili iweze kupata mafanikio lazima ipitie katika mifumo ya kisasa ikiwa ni pamoja na kuinua soka la vijana, naamini nitafanikiwa ndani ya Yanga kwa kuwa kuna vipaji vingi sana hapa nchini na vitaenda kuinufaisha klabu hii," .

Tayari Zahera ambaye aliwahi kufanya kazi ndani ya Yanga akiwa ni Kocha Mkuu kabla ya kibarua chake kusitishwa ameanza kazi na yupo ndani ya kikosi hicho ambacho kimetwaa taji la Ngao ya Jamii.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: ISHU YA MWINYI ZAHERA KUWA MKALIMALI YANGA IPO HIVI
ISHU YA MWINYI ZAHERA KUWA MKALIMALI YANGA IPO HIVI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEigT9EKsaXLzhryUShCl11dfBlvQOKKCEMBXZH3JBBLzHuy1rvUCOG9CDnmzf9htmJ4fhc6L8TP2C5SeKs0QQlHgI9JutnTZBYfEV0J9KaMvbriPOOjrZmEtSu23iuFhJA148I9M1tqz5ZT/w640-h426/Zahera.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEigT9EKsaXLzhryUShCl11dfBlvQOKKCEMBXZH3JBBLzHuy1rvUCOG9CDnmzf9htmJ4fhc6L8TP2C5SeKs0QQlHgI9JutnTZBYfEV0J9KaMvbriPOOjrZmEtSu23iuFhJA148I9M1tqz5ZT/s72-w640-c-h426/Zahera.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/ishu-ya-mwinyi-zahera-kuwa-mkalimali.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/ishu-ya-mwinyi-zahera-kuwa-mkalimali.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy