WACHEZAJI SITA WA YANGA KUIKOSA JKT TANZANIA LEO
HomeMichezo

WACHEZAJI SITA WA YANGA KUIKOSA JKT TANZANIA LEO

  KOCHA Mkuu wa Yanga, Nassredine Nabi anatarajiwa kuwakosa nyota wake sita leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya JKT Tanzania utak...

 


KOCHA Mkuu wa Yanga, Nassredine Nabi anatarajiwa kuwakosa nyota wake sita leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya JKT Tanzania utakaochezwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.

Wachezaji hao sita wamehusika katika jumla ya mabao 10 kati ya 41 ambayo yamefungwa na kikosi hicho baada ya kucheza jumla ya mechi 28  na pointi zake ni 58.

Nyota hao ni pamoja na Abdalah Shaibu, ‘Ninja’, Yassin Mustapha, Mapinduzi Balama na Carlos Carlinhos mwenye mabao matatu na pasi mbili za mabao kiungo Haruna Niyonzima huyu ana matatizo ya kifamilia.

Pia beki kisiki Lamine Moro huyu kosa lake la utomvu wa nidhamu lililomfanya aondolewe kikosini Mei 15 litamfanya awakose JKT Tanzania.

Lamine yeye amefunga jumla ya mabao manne na ametoa pasi moja ya bao kati ya mabao 41 ambayo yamefungwa amehusika katika mabao matano.

Ni Mwinyi Kazimoto kwa mujibu wa Kocha Mkuu, Mohamed Abdalah, ‘Bares’ kwa upande wa JKT Tanzania atakosekana kwa kuwa bado hajawa fiti kutokana na kusumbuliwa na majeraha.

Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli alipotafutwa na Spoti Xtra ili azungumzie hali ya wachezaji hao alieleza kuwa yupo kwenye kikao.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: WACHEZAJI SITA WA YANGA KUIKOSA JKT TANZANIA LEO
WACHEZAJI SITA WA YANGA KUIKOSA JKT TANZANIA LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiAMt8MCPcu0UDjXcHkgE-xYVM5XGyQrOYmo4IftaIe4BQW-UeKQl0LMBxLKvYS0U5Siy0QllIT1VtncLxat01rcErhnnG2OWK3kRYYtCTtGHmryjboxz-azkqP2Tnkyc5YhBB6-KqVdhRF/w640-h640/Muangola+tena.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiAMt8MCPcu0UDjXcHkgE-xYVM5XGyQrOYmo4IftaIe4BQW-UeKQl0LMBxLKvYS0U5Siy0QllIT1VtncLxat01rcErhnnG2OWK3kRYYtCTtGHmryjboxz-azkqP2Tnkyc5YhBB6-KqVdhRF/s72-w640-c-h640/Muangola+tena.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/wachezaji-sita-wa-yanga-kuikosa-jkt.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/wachezaji-sita-wa-yanga-kuikosa-jkt.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy