KOCHA MANCHESTER UNITED BADO YUPO SANA
HomeMichezo

KOCHA MANCHESTER UNITED BADO YUPO SANA

 IMEELEZWA kuwa mabosi wa Klabu ya Manchester United hawana mpango wa kumfukuza Kocha Mkuu, Ole Gunnar Solkajaer licha ya kuwa na mwendo m...

VIDEO: MAMBO MATATU AMBAYO YANAMFANYA NYONI AZIDI KUDUMU NDANI YA UWANJA
LUKAKU BADO YUPO INTER
VIDEO:YANGA KUMSAJILI MSHAMBULIAJI WA MABAO

 IMEELEZWA kuwa mabosi wa Klabu ya Manchester United hawana mpango wa kumfukuza Kocha Mkuu, Ole Gunnar Solkajaer licha ya kuwa na mwendo mbovu hivi karibuni.

Tayari ndani ya msimu wa 2021/22 amenyooshwa kwenye mechi tatuna amelazimisha sare mbili huku akipata ushindi katika mechi tano ni katika michuano tofauti.

Jina lake limekuwa likitajwa kuwa ni moja ya majina yatakayochimbishwa mapema kutokana na mabosi wa timu hiyo kuwekeza nguvu kubwa kwenye usajili wa nyota wakubwa ikiwa ni pamoja na Cristiano Ronaldo ili aweze kuwapa matokeo ila mambo yamekuwa ni magumu.

Ripoti zinaeleza kuwa licha ya matokeo kuwa mabaya na mwendo mbovu wa timu hiyo iliyo nafasi ya nne kwenye msimamo wa Ligi Kuu England pamoja na pointi zake 14 huku vinara wakiwa ni Chelsea wenye pointi 16 bado ripoti zinaeleza kuwa mabosi hawana mpango wa kumfuta kazi kwa kuwa wanaona anafanya vizuri.

Anayetajwa kupewa mikoba ya Solkajaer ni Antonio Conte ambaye kwa sasa yupo huru kwa kuwa hawafundishi tena Inter Milan ambao aliwapa ubingwa walioukosa kwa muda mrefu.




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KOCHA MANCHESTER UNITED BADO YUPO SANA
KOCHA MANCHESTER UNITED BADO YUPO SANA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiZwSDlsba2ZQOrjXuXdvsp93DBbhde6V4lCn-XSevdts_cAGPx_LUYuYgmMYKgFLhG2hTywzRoHvr3O1hm4TWlW-ufiFeDLqHnTA0y_gpL6Q9dcgG3gAkcKnCn6r_l5ruQ31ytxkAaQVWI/w640-h360/Solsja.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiZwSDlsba2ZQOrjXuXdvsp93DBbhde6V4lCn-XSevdts_cAGPx_LUYuYgmMYKgFLhG2hTywzRoHvr3O1hm4TWlW-ufiFeDLqHnTA0y_gpL6Q9dcgG3gAkcKnCn6r_l5ruQ31ytxkAaQVWI/s72-w640-c-h360/Solsja.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/kocha-manchester-united-bado-yupo-sana.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/kocha-manchester-united-bado-yupo-sana.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy