BAADA ya taarifa ya kushtua katika familia ya michezo kuhusu kutangulia mbele za haki kwa mwanamichezo Hanspope Zakaria wengi wamekuwa wa...
BAADA ya taarifa ya kushtua katika familia ya michezo kuhusu kutangulia mbele za haki kwa mwanamichezo Hanspope Zakaria wengi wamekuwa wakimlilia.
Hanspope ambaye alikuwa ni Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Simba alikuwa anaumwa na taarifa zake za kutangulia mbele za haki imetolewa usiku wa kuamkia leo.
Miongoni mwa waliomlilia ni pamoja na Haji Manara, Ofisa Habari wa Simba, Emmanuel Okwi nyota wa zamani wa Simba pamoja na viongozi mbalimbali wa Simba ambao wamesema kuwa wameshtushwa na taarifa hiyo.
Pumzika kwa amani
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS