CHELSEA NA LIVERPOOL ZAVURUGWA, KISA DAYOT
HomeMichezo

CHELSEA NA LIVERPOOL ZAVURUGWA, KISA DAYOT

MABOSI wa Bayern Munich wamethibitisha kuwa wamefikia makubaliano mazuri na Klabu ya RB Leipzig kupata saini ya nyota wao Dayot Upamecano...

VIDEO: LUIS RASMI NDANI YA AL AHLY, MO, GSM VITA UPYA, AUCHO KUSIMAMISHA NCHI
JUMA MAKAPU WA YANGA KUIBUKIA MTIBWA SUGAR
VIDEO: HAJI MANARA AWASHURUKU SIMBA, ATAJA SABABU YA KUBWAGA MANYANGA, CHUKI NA ISHU YA HUJUMA


MABOSI wa Bayern Munich wamethibitisha kuwa wamefikia makubaliano mazuri na Klabu ya RB Leipzig kupata saini ya nyota wao Dayot Upamecano kwa dau la pauni milioni 38.5.

Nyota huyo mwenye miaka 22 anatajwa kuwa pia kwenye rada za Liverpool na Chelsea ambao wamekuwa wakipambana kuisaka saini ya beki huyo raia wa Ufaransa.

Suala hilo linatajwa kuwavuruga vigogo wa Ligi Kuu England ambao walikuwa wanahitaji saini yake kwa ajili ya msimu ujao.

Mabosi hao wa Bayern Munich wameeleza kuwa wamefikia makubaliano ya kumpa dili la miaka mitano beki huyo ili aweze kujiunga na timu hiyo ambayo imetwaa taji la Klabu Bingwa Duniani.

Kiongozi wa Bayern Munich, Hasan Salihamidzic amesema kuwa wamekuwa kwenye mazungumzo mazuri na wakala wa mchezaji huyo Volker Struth kwa muda mrefu jambo ambalo linawafanya waamini kwamba watakuwa kwenye nafasi nzuri ya kumpata mchezaji huyo.

"Amekubali kupewa saini ya miaka mitano hivyo dili hilo litamfanya awe ndani ya Uwanja wa Allianz Arena msimu ujao.Tumekuwa na mazungumzo mazuri na tunaamini kwamba tumezungumza naye na kumpa kile ambacho tunakihitaji.

"Tunaamini kwamba kuna ushindani mkubwa na yeye pia ni mchezaji mzuri mwenye uwezo ndani ya uwanja hasa ukizingatia kwamba ana umri wa miaka 22,"





Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: CHELSEA NA LIVERPOOL ZAVURUGWA, KISA DAYOT
CHELSEA NA LIVERPOOL ZAVURUGWA, KISA DAYOT
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhZ6WTArSCQU9gKm4lkdJw55-b8ucoijt9lOahJxWxjbY7-lwBYDpUx-F0OxEwDuqu5Vtv8k3-vB5ESJqfsOxN8dRXN_MH-WkbrO0uEDJ0wELvCg-In6win8HZN_9JklrmqBDfFBqh4Hiw8/w640-h428/Dayot+sasa.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhZ6WTArSCQU9gKm4lkdJw55-b8ucoijt9lOahJxWxjbY7-lwBYDpUx-F0OxEwDuqu5Vtv8k3-vB5ESJqfsOxN8dRXN_MH-WkbrO0uEDJ0wELvCg-In6win8HZN_9JklrmqBDfFBqh4Hiw8/s72-w640-c-h428/Dayot+sasa.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/chelsea-na-liverpool-zavurugwa-kisa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/chelsea-na-liverpool-zavurugwa-kisa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy