KLABU ya Yanga imepangiwa timu ya Rivers United kutoka Nigeria katika mchezo wa awali hatua ya kwanza ya mtoano kwa ajili ya kufuzu hatua ya...
KLABU ya Yanga imepangiwa timu ya Rivers United kutoka Nigeria katika mchezo wa awali hatua ya kwanza ya mtoano kwa ajili ya kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Yanga ikifuzu itashiriki hatua ya pili ambapo ikifuzu itatinga hatua ya makundi Afrika.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS