NI MSIMU MPYA WENYE VIBE JIPYA VIWANJANI, ARSENAL NA CHELSEA KUKIWASHA
HomeMichezo

NI MSIMU MPYA WENYE VIBE JIPYA VIWANJANI, ARSENAL NA CHELSEA KUKIWASHA

  Baada ya michezo ya wiki ya kwanza kunako soka barani Ulaya, wiki ya pili hii hapa! Burudani inaendelea wikiendi hii ndani ya viwanja m...

VIDEO: KIBU DENNIS NYOTA STARS ANAYETAJWA KUIBUKIA YANGA AFUNGUKA
MZAWA DEUS KASEKE AWEKA REKODI YAKE YANGA
STERLING AUWASHA MOTO ENGLAND, EURO 2020

 


Baada ya michezo ya wiki ya kwanza kunako soka barani Ulaya, wiki ya pili hii hapa! Burudani inaendelea wikiendi hii ndani ya viwanja mbalimbali, Meridianbetmambo yapo hivi;

 

Ijumaa hii tunaanzia kule Ubelgiji. Standard Liege kuchuana na KV Oostende kunako First Division A. Unaweza kuianza wikiendi yako kwa kuifuata Odds ya 2.25 kwa Liege ukiwa na Meridianbet.

 

Jumamosi hii tutakuwa pole Villa Park katika muendelezo wa EPL. Aston Villa kuchuana na Newcastle United. Timu zote mbili zilipoteza michezo yao ya kwanza, hii haimaanishi ni wanyonge. Tembelea Odds ya 1.95 kwa Aston Villa ndani ya Meridianbet.


Uhondo wa msimu mpya utanoga zaidi pale Emirate Stadium. Naam! Ni London Derby katika wiki ya pili ndani ya EPL. Arsenal vs Chelsea, vibe la mchezo wa majirani huwa ni burudani ya aina yake. Usipotoshwe na matokeo ya mchezo wa awali, lolote linaweza kutokea kwenye mchezo huu. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.85 kwa Arsenal jumapili hii.

 

Wikiendi itahitimishwa kwa mtanange wa West Ham United vs Leicester City. Miongoni mwa timu ambazo zinatoa upinzani kwa miamba ya EPL, basi timu hizi hazikosekani kwenye nafasi hizo. Dakika 90 kuamua – ni Brendan Rogers au David Moyes kuondoka na pointi muhimu? Ifuate Odds ya 2.55 ndani ya Meridianbet.

 

Meridianbet, Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: NI MSIMU MPYA WENYE VIBE JIPYA VIWANJANI, ARSENAL NA CHELSEA KUKIWASHA
NI MSIMU MPYA WENYE VIBE JIPYA VIWANJANI, ARSENAL NA CHELSEA KUKIWASHA
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgY_7VDoyBfkIDaOS6SxNB-vuJixlRhJNgSEqMK700bJR3uN9jm8t_QgRsjcdrGBAUQnV-ibTTwr3cSkAlkTrbfcVpieq24CdCkqNHBLqi3cOFEu8DBOdc6tMFyUgwgzdEozyhmcD1dfiiDeNV7ACnFpqIQNSZRlcX3RArFXO7d4fj-DYea16vfFHo_6Q=w640-h454
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgY_7VDoyBfkIDaOS6SxNB-vuJixlRhJNgSEqMK700bJR3uN9jm8t_QgRsjcdrGBAUQnV-ibTTwr3cSkAlkTrbfcVpieq24CdCkqNHBLqi3cOFEu8DBOdc6tMFyUgwgzdEozyhmcD1dfiiDeNV7ACnFpqIQNSZRlcX3RArFXO7d4fj-DYea16vfFHo_6Q=s72-w640-c-h454
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/ni-msimu-mpya-wenye-vibe-jipya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/ni-msimu-mpya-wenye-vibe-jipya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy