IHEFU YAKOMALIA KUBAKI NDANI YA LIGI KUU BARA
HomeMichezo

IHEFU YAKOMALIA KUBAKI NDANI YA LIGI KUU BARA

 ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Ihefu FC amesema kuwa bado wanaimani ya kubaki ndani ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2021/22 licha ya kuwa kwe...


 ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Ihefu FC amesema kuwa bado wanaimani ya kubaki ndani ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2021/22 licha ya kuwa kwenye mwendo wa kusuasua.

Ihefu haikuaza vizuri msimu wa 2020/21 kutokana na kile ambacho mwalimu aliweka wazi kwamba ni kukosa wachezaji wenye uzoefu ndani ya ligi.

Ushindi wake walioupata kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji baada ya ubao wa Highland kusoma Ihefu 1-0 Dodoma umewafanya wapande mpaka nafasi ya 12 wakiwa na pointi 34 baada ya kucheza jumla ya mechi 30.

Mtupiaji katika mchezo wao uliopita Mei 20 alikuwa ni Andrew Simchimba na alipachika bao hilo dakika ya 18 kwa mkwaju wa penalti.

Akizungumza na Saleh Jembe, Katwila amesema:"Bado tuna kazi kubwa ya kufanya hasa kwa mechi ambazo zimebaki ukizingatia kwamba ushindani ni mkubwa nasi tunapambana ili kupata matokeo chanya,".

Msimu huu timu nne zinashuka ambapo tayari Mwadui FC ikiwa na pointi 19 baada ya kucheza mechi 30 imeshakata tiketi ya kushiriki Ligi Daraja la Kwanza msimu ujao.




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: IHEFU YAKOMALIA KUBAKI NDANI YA LIGI KUU BARA
IHEFU YAKOMALIA KUBAKI NDANI YA LIGI KUU BARA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEivP_dPp3FdiwfuQbA8MMg_KrM4ShnlzybxRyg3fMQcSLqM9GoeJxhU3p6L77sQb6o0WCYNmfd-q0y-QP2iYNt_MBmJLzMi0fQVXuayxlolitUocS-cd8JuCoaIScU-0vuFSjIAB3jRby-G/w640-h640/ihefusportsclubtz-189884820_155265166569206_6482179733627249968_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEivP_dPp3FdiwfuQbA8MMg_KrM4ShnlzybxRyg3fMQcSLqM9GoeJxhU3p6L77sQb6o0WCYNmfd-q0y-QP2iYNt_MBmJLzMi0fQVXuayxlolitUocS-cd8JuCoaIScU-0vuFSjIAB3jRby-G/s72-w640-c-h640/ihefusportsclubtz-189884820_155265166569206_6482179733627249968_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/ihefu-yakomalia-kubaki-ndani-ya-ligi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/ihefu-yakomalia-kubaki-ndani-ya-ligi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy