WACHEZAJI wa Yanga ambao walibaki nchini Morocco kutokana na sababu mbalimbali jana walirejea Dar na kuungana na wachezaji wenzao ambao wali...
WACHEZAJI wa Yanga ambao walibaki nchini Morocco kutokana na sababu mbalimbali jana walirejea Dar na kuungana na wachezaji wenzao ambao walirudi mapema kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa 2021/22 na leo watakuwepo kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi.Miongoni mwa wachezaji hao ni pamoja na Yacouba Songne, Dickosn Ambundo.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS