BENZEMA AFIKISHA MABAO 71 UEFA, ZIDANE MATUMAINI KIBAO
HomeMichezo

BENZEMA AFIKISHA MABAO 71 UEFA, ZIDANE MATUMAINI KIBAO

 ZINEDINE Zidane, Kocha Mkuu wa Real Madrid amesema kuwa kwa kuwa bado wanaishi wana imani watakwenda kupata matokeo chanya kwenye nusu fa...


 ZINEDINE Zidane, Kocha Mkuu wa Real Madrid amesema kuwa kwa kuwa bado wanaishi wana imani watakwenda kupata matokeo chanya kwenye nusu fainali ya pili dhidi ya Chelsea katika UEFA Champions League.

Nusu fainali ya kwanza iliyochezwa Uwanja wa Estadio Alfredo Di Stefano, ubao ulisoma Real Madrid 1-1 Chelsea jambo lililofanya asipatikane mbabe kwenye mchezo huo.

Ni Christian Pulisic dakika ya 14 alipachika mkwaju wa kwanza wa kuongoza uliwekwa usawa kibabe na nyota Karim Benzema dakika ya 29 na kumfanya afikishe jumla ya mabao 71 katika Uefa.

Kwa upande wa Kocha Mkuu wa Chelsea, Thomas Tuchel amesema kuwa walishindwa kuumaliza mchezo huo kipindi cha kwanza ambacho walipata nafasi nyingi.

Zidane amesema hawakuwa na bahati ya kupata ushindi ila kwa kuwa bado wanaishi wana kazi ya kwenda kusaka ushindi kwenye mchezo wao watakapokwenda London.

"Bahati nzuri ni kwamba bado tunaishi na tuna kazi ya kwenda kutafuta ushindi London, hakuna mashaka tutajipanga ili kupata ushindi kwenye mchezo wetu ujao," .




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: BENZEMA AFIKISHA MABAO 71 UEFA, ZIDANE MATUMAINI KIBAO
BENZEMA AFIKISHA MABAO 71 UEFA, ZIDANE MATUMAINI KIBAO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhU9VVRzw8C09ZwUGTkE8ujVexUrlt2b_TE0M0dQDw3TANvK78gGg7IrWEH2nE75EMYSSPI04cQ1PHpomiWPIFD9_UcVxwIx5gD59kgxZzJO2urietP4zitpWjO3Slsd02uY5fEBTQyDOCo/w640-h438/Benzema+tena.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhU9VVRzw8C09ZwUGTkE8ujVexUrlt2b_TE0M0dQDw3TANvK78gGg7IrWEH2nE75EMYSSPI04cQ1PHpomiWPIFD9_UcVxwIx5gD59kgxZzJO2urietP4zitpWjO3Slsd02uY5fEBTQyDOCo/s72-w640-c-h438/Benzema+tena.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/benzema-afikisha-mabao-71-uefa-zidane.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/benzema-afikisha-mabao-71-uefa-zidane.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy