Kama unamjua yatima yeyote ambaye amepoteza wazazi wake wote wawili pia kama amesoma na amemaliza sekondari na anatamani kuendelea na ku...
Kama unamjua yatima yeyote ambaye amepoteza wazazi wake wote wawili pia kama amesoma na amemaliza sekondari na anatamani kuendelea na kusoma chuo kikuu, basi nakuomba mwambie/wambie watume maombi ya scholarship (udhamini wa masomo) kupitia tovuti ya www.samamagafoundation.org/apply. TAREHE YA MWISHO WA MAOMBI NI 29/5/2015. Kwa maelezo zaidi piga namba: 08034622690, 08174364192 au 09036804381
Tafadhali washirikishe na wenzako pia wasaidie wasio na msaada waweze kufanikiwa
COMMENTS