TAWI la Yanga kutoka Mbezi linaloitwa Pamoja limeweza kutoa msaada katika shule ya Sekondari ikiwa ni kwa ajili ya kuelekea kwenye kilele ch...
TAWI la Yanga kutoka Mbezi linaloitwa Pamoja limeweza kutoa msaada katika shule ya Sekondari ikiwa ni kwa ajili ya kuelekea kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi na wamebainisha kwamba wamepewa mchango pia kutoka kwa mashabiki wa Simba.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Aidha wameongeza kuwa nje ya uwanja wao na Simba ni marafiki na ugomvi wao ni ndani ya uwanja.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS