KEPA AMETWAA MATAJI MANNE
HomeMichezo

KEPA AMETWAA MATAJI MANNE

  AKIWA na umri wa miaka 26 ameweza kunyanyua makwapa mara nne akiwa na timu tofauti baada ya kushinda mataji makubwa na kumfanya awe na f...


 AKIWA na umri wa miaka 26 ameweza kunyanyua makwapa mara nne akiwa na timu tofauti baada ya kushinda mataji makubwa na kumfanya awe na furaha kwa wakati huo.

Ni Kepa Arrizabalaga ambaye aliletwa duniani Oktoba 3,1994 ni raia wa Hispania ambapo anacheza timu ya taifa pia akiwa na urefu wa m 1,86.

Rekodi zinaonyesha kuwa taji lake la kwanza alitwaa mwaka 2013 nchini Hispania na ilikuwa ni lile la European U 19. 2018/19 alinyanyua makwapa kwa kutwaa taji la Europa League.

Msimu wa 2020/21 akiwa ni mali ya Chelsea alitwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya akiwa chini ya Kocha Mkuu, Thomas Tuchel na alikuwa shujaa katika fainali ya UEFA Super Cup baada ya kuokoa penalti mbele ya Villarreal na Chelsea ilishinda kwa penalti 6-5.

Akiwa na timu yake ya taifa ya Hispania aliweza kushiriki Kombe la Dunia 2018 mara moja. Mkataba wake unameguka Juni 30,2025 ndani ya Chelsea ambapo alijiunga na timu hiyo Agosti 8,2018.


Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KEPA AMETWAA MATAJI MANNE
KEPA AMETWAA MATAJI MANNE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiryCisT0j5yQ08aPREnLDuYqXfzkF0tiYCycEHoZu5rb4x7rgn9f1T-ffgR6R-6n-xoKsMtYU3VmgDGuKuYg10AKIkXxlubx1fXHgFa_rHjqBgs62FUMwyuIDuM6for6ePS_qBANv9hsMR/w640-h360/kepa+save.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiryCisT0j5yQ08aPREnLDuYqXfzkF0tiYCycEHoZu5rb4x7rgn9f1T-ffgR6R-6n-xoKsMtYU3VmgDGuKuYg10AKIkXxlubx1fXHgFa_rHjqBgs62FUMwyuIDuM6for6ePS_qBANv9hsMR/s72-w640-c-h360/kepa+save.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/kepa-ametwaa-mataji-manne.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/kepa-ametwaa-mataji-manne.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy