LICHA YA KUWAKOSA AUCHO, DJUMA YANGA YATAMBA NA USAJILI WAO
HomeMichezo

LICHA YA KUWAKOSA AUCHO, DJUMA YANGA YATAMBA NA USAJILI WAO

  UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa umesajili wachezaji wa kazi jambo ambalo linawafanya wasiwe na hofu yoyote kuelekea kwenye mchezo wa...

SIMBA WAREJEA DAR USIKU WAKITOKEA ARUSHA
VIDEO: NAHODHA SURE BOY AWEKA WAZI HESABU ZAO MBELE YA WASOMALI
VIDEO: KOCHA AZAM AFUNGUKA MCHEZO WA KESHO

 


UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa umesajili wachezaji wa kazi jambo ambalo linawafanya wasiwe na hofu yoyote kuelekea kwenye mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Rivers United.


Leo, Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi itakuwa na kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa awali dhidi ya Rivers United kutoka Nigeria ambao wa wa Ligi ya Mabingwa Afrika.


Akizungumza na Saleh Jembe, Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Yanga, Hassan Bumbuli amesema kuwa mashabiki wasiwe na presha juu ya wachezaji wao watatu kukosa vibali vya kazi, (ITC).


“Ukizungumzia Yanga hauzungumzii mchezaji mmoja ama wawili ni orodha ya wachezaji wa kazi zaidi ya mmoja na tumesajili wachezaji 30 hii ina maana kwamba akikosekana mmoja mwingine anacheza.


“Kuhusu Aucho pamoja na maneno ambayo yanaendelea kwenye mitandao hayatupi hofu, tunahitaji kufanya vizuri na tutaonesha kazi uwanjani,” amesema Bumbuli.


Wachezaji ambao kunahatihati ya Yanga kuwakosa leo Uwanja wa Mkapa ni Khalid Aucho ambaye ni kiungo, Djuma Shaban ambaye ni beki pamoja na Fiston Mayele ambaye ni mshambuliaji.





Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: LICHA YA KUWAKOSA AUCHO, DJUMA YANGA YATAMBA NA USAJILI WAO
LICHA YA KUWAKOSA AUCHO, DJUMA YANGA YATAMBA NA USAJILI WAO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh1gtHJnM74w9RBdldex3P-f14-yrHKaN9rDOBrOmAHJhnyygu4_HtXcod7aeVnD2Z2DsJXY4vlewZZAY4AKOaeNhEghh1YdjADk4CPOsX-GErmRcqrPK7LP5jIqxjZItLTl33V1sPJCbxd/w616-h640/Aucho+tena.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh1gtHJnM74w9RBdldex3P-f14-yrHKaN9rDOBrOmAHJhnyygu4_HtXcod7aeVnD2Z2DsJXY4vlewZZAY4AKOaeNhEghh1YdjADk4CPOsX-GErmRcqrPK7LP5jIqxjZItLTl33V1sPJCbxd/s72-w616-c-h640/Aucho+tena.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/licha-ya-kuwakosa-aucho-djuma-yanga.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/licha-ya-kuwakosa-aucho-djuma-yanga.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy