Abdul Nondo Afutiwa Kesi
HomeHabari

Abdul Nondo Afutiwa Kesi

Mahakama ya Rufani Tanzania, Masjala ya Iringa imeondoa kesi iliyokuwa inamkabili aliyekuwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (...

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo June 17
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo June 16
Aweso Atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Sengerema


Mahakama ya Rufani Tanzania, Masjala ya Iringa imeondoa kesi iliyokuwa inamkabili aliyekuwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP).

Nondo alikuwa anashtakiwa kwa makosa mawili, moja ni kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni na mbili, kutoa taarifa za uongo kwa mtumishi wa umma Mafinga.

Awali, Nondo aliachiwa huru na Mahakama Kuu ya Tanzania baada ya upande wa Jamuhuri kushindwa kuthibitisha makosa yaliyokuwa yanamkabili bila kuacha shaka yoyote.

Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) alikata rufaa katika Mahakama ya Rufani ya Tanzania baada ya kutoridhishwa na uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania uliokuwa umempa ushindi Nondo.

Leo Jumatano Machi 23, 2022, kesi ilikuwa inafika mahakamani kwa ajili ya kusikilizwa lakini Wakili wa Serikali, Basilius Namkambe aliwasilisha ombi mahakamani kuwa DPP hana nia ya kuendelea nayo.

Kesi hiyo iliyokuwa chini ya majaji watatu, Shaban Ally Lila, Ignas Paul Kitusi na Abrahamu Mwampash na imeondolewa chini ya kanuni namba 77, kanuni ndogo ya nne za kanuni za Mahakama ya Rufaa.

Nondo amesema anamshukuru Mungu kwani yupo huru na ataendelea na kazi zake kama kawaida.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Abdul Nondo Afutiwa Kesi
Abdul Nondo Afutiwa Kesi
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEie9QaBhe35CtSub3soEdEbI3CSZv_V6eKDUyRO9gZMRxTZx0uFNxYB2VbF_4wkeX1fwp_0sEJHJPlD2OIgnjJF2icdMtC3a7X81iBbFN09KeTEUcW8usf4q9zcn37Yv4q8oJts5xW-naI1YAwH-fZGzAbzQe_TMUtlktBUn-aRA8fVZloC4dN3qk0StQ/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEie9QaBhe35CtSub3soEdEbI3CSZv_V6eKDUyRO9gZMRxTZx0uFNxYB2VbF_4wkeX1fwp_0sEJHJPlD2OIgnjJF2icdMtC3a7X81iBbFN09KeTEUcW8usf4q9zcn37Yv4q8oJts5xW-naI1YAwH-fZGzAbzQe_TMUtlktBUn-aRA8fVZloC4dN3qk0StQ/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/03/abdul-nondo-afutiwa-kesi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/03/abdul-nondo-afutiwa-kesi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy