HomeHabariTop Stories

Sintofahamu ya Dkt.Slaa, hajafikishwa mahakamani, mawakili hawajui “kama amekufa ama la”

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imeshindwa kusikikiza kesi ya kusambaza taarifa za uongo inayomkabili aliyekuwa Katibu Mkuu w...

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 11, 2024
Dj Effexy katuletea hii Album yake mpya isikilize hapa ‘Midnight In Dar’
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 10, 2024

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imeshindwa kusikikiza kesi ya kusambaza taarifa za uongo inayomkabili aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt.Wilbroad Slaa (76) kwa sababu ya kutofikishwa mahakamani.

Dkt.Slaa alifikishwa mahakamani hapo Januari 10, 2025 akikabiliwa na kesi ya jinai namba 993 ya mwaka 2025, ambapo alitarajiwa kufikishwa mahakamani hapo leo kwa ajili ya kujua hatma ya dhamana yake baada ya Upande wa Jamhuri kuwasilisha kiapo cha kuzuia dhamana.

Katika kesi hiyo, Dkt.Slaa anatetewa na Jopo la Mawakili sita, linaloongozwa na Biniface Mwabukusi, Peter Madeleka, Hekima Mwasipu, huku Jamhuri ikiwakilishwa na Wakili Tawabu Issa.

Wakili wa Serikali, Issa alisema kuwa kesi hiyo imeitishwa leo kwa ajili ya mjadala wa dhamana lakini mtuhumiwa hajafika mahakamani licha kwamba wameuliza lakini wameambiwa hajafika.

 

The post Sintofahamu ya Dkt.Slaa, hajafikishwa mahakamani, mawakili hawajui “kama amekufa ama la” first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/tHCdaL8
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Sintofahamu ya Dkt.Slaa, hajafikishwa mahakamani, mawakili hawajui “kama amekufa ama la”
Sintofahamu ya Dkt.Slaa, hajafikishwa mahakamani, mawakili hawajui “kama amekufa ama la”
https://i.ytimg.com/vi/TRyx86CU_bM/hqdefault.jpg
https://i.ytimg.com/vi/TRyx86CU_bM/default.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2025/01/sintofahamu-ya-dktslaa-hajafikishwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2025/01/sintofahamu-ya-dktslaa-hajafikishwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy