HAJI MANARA: TUTAFUNIKA SIKU YA MWANANCHI, AWASIFU YANGA
HomeMichezo

HAJI MANARA: TUTAFUNIKA SIKU YA MWANANCHI, AWASIFU YANGA

 HAJI Manara ingizo jipya ndani ya Yanga akiwa kwenye kitengo cha habari amesema kuwa watafunika kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi, kesh...

VIDEO:MASHABIKI SIMBA WANUNA, WARUSHA MACHUPA
VIDEO: SIMBA ULAYA AWAPIGA MKWARA YANGA, WACHEZAJI YANGA WADAIA KUJIANGUSHA
VIDEO:MZEE WA UTOPOLO ATAMBA YANGA KUIFUNGA SIMBA KIGOMA

 HAJI Manara ingizo jipya ndani ya Yanga akiwa kwenye kitengo cha habari amesema kuwa watafunika kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi, kesho Uwanja wa Mkapa huku akiwasifu viongozi wa Yanga kufanya kazi kwa ushirikiano.


Kesho inatarajiwa kuwa ni kelele cha Wiki ya Mwananchi ambapo kulikuwa na matukio mbalimbali yakifanywa kabla ya siku ya mwisho. Matukio ambayo yalikuwa yanafanyika ilikuwa ni pamoja na kujitolea damu, kufanya usafi pamoja na matendo ya huruma kwa jamii.


Manara ambaye alikuwa Ofisa Habari wa Simba kwa muda wa miaka sita sasa anahudumu ndani ya Yanga huku akibainisha kuwa yeye ni kama mchezaji vile kuhama timu moja hakuna tatizo.


Kuhusu tukio la kesho Manara alisema:”Ukiacha tukio la mimi kuingia na msanii kwa helkopta kubwa ya kisasa kulikuwa na jambo gani ambalo sisi, (Simba) tuliwazidi Yanga kwa ukubwa wa tamasha? Tuliweka maskrini yetu upande wa pili yalidoda waliingia watu 20.


“Mwaka jana sisi Yanga hatukuwaweza lakini kwa sababu ya ubishi wangu na kujitutumua tukaonekana tupo sawa. Kwa wiki ambayo nipo Yanga, Yanga wanafanya kazi kama taasisi, unakaa unaona namna management, (utawala) inavyofanya kazi.


“Tofauti na sisi ni one man show team, (timu ya mtu mmoja) kwamba mtu mmoja  anapanga kila kitu, huku wenzentu hawa nimeungana nao wanafanya kazi kama taasisi hawa hawafanyi kazi kama timu ya mtu mmoja. Ndio maana unaona wakipanga mambo yao yanakwenda sawa.


 “Mungu hakuwa amewajalia kuwapa trophies, (ubingwa) ilikuwa ni suala la muda tu kwa sababu usajili waliofanya msimu huu mimi umenifanya pia nijiunge nao. Kwa namna ambavyo wamefanya. Sasa wanakwenda kuchukua mataji yao kwa sababu wanayo 27, wanakwenda kushinda mataji. Mwezi wa tano ligi itakapokuwa inamalizika Yanga watakuwa mbali sana,” amesema Manara.





Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: HAJI MANARA: TUTAFUNIKA SIKU YA MWANANCHI, AWASIFU YANGA
HAJI MANARA: TUTAFUNIKA SIKU YA MWANANCHI, AWASIFU YANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiVpJp3OwAzgUmt8c1uUNsJdMVj07vUSbUxA_4HbgNsvB-AGBH1my3RH_mOwiCRksSN3P94LsjsI_4kbfB4c74YwmEGv8BG7gkjFZmqaNoSz9kQpQJFFz5GWe_DtIHQ9miuWpftj9F8YUm3/w562-h640/240700877_217213180366393_3350725396994315777_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiVpJp3OwAzgUmt8c1uUNsJdMVj07vUSbUxA_4HbgNsvB-AGBH1my3RH_mOwiCRksSN3P94LsjsI_4kbfB4c74YwmEGv8BG7gkjFZmqaNoSz9kQpQJFFz5GWe_DtIHQ9miuWpftj9F8YUm3/s72-w562-c-h640/240700877_217213180366393_3350725396994315777_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/haji-manara-tutafunika-siku-ya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/haji-manara-tutafunika-siku-ya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy