CCM Yajifungia Siku Tatu Kuwapiga Msasa Watendaji Wake Jijini Dodoma
HomeHabari

CCM Yajifungia Siku Tatu Kuwapiga Msasa Watendaji Wake Jijini Dodoma

Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara ndugu Philip Japhet Mangula  Novemba 03 amefungua Mafunzo ya Makatibu wa Mikoa Na Wilaya Nchi Nzim...

Aweso akamilisha kazi ya wiki kwa siku 1 Buhongwa,yamalizika usiku
Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 9, 2024
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 9, 2024


Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara ndugu Philip Japhet Mangula  Novemba 03 amefungua Mafunzo ya Makatibu wa Mikoa Na Wilaya Nchi Nzima katika ukumbi wa H/KUU Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma.

Pamoja na Mambo mengine ya msingi lengo la mafunzo hayo ni kujenga uelewa juu maadhumuni na Imani ya CCM sanjali na mambo mbalimbali ya ujenzi wa Taifa letu.

Aidha Mafunzo hayo yatafanyika kwa siku tatu na zaidi ya mada 17 zitafundishwa na wakufunzi mbalimbali waandamizi wa Chama na Serikali.

Mafunzo hayo yatahitimishwa tarehe 6 Novemba, 2021 ambapo Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufunga Mafunzo Hayo.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: CCM Yajifungia Siku Tatu Kuwapiga Msasa Watendaji Wake Jijini Dodoma
CCM Yajifungia Siku Tatu Kuwapiga Msasa Watendaji Wake Jijini Dodoma
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhWJ_MeZ3qMJuj4T5XrnbYOCpz1B7RFBr6MM7DElITIPXf61Wgl9_Q-ScGunQCzj-fysNhA9srqR5LsYnNA33CvVRuo8Ih3wQyuZ1Yk56NZrS-JZ5x2gL8U5Q-WUi3XXEFo-gZmrPnr_RfJ9opD09d48ko_cHJu6hO5Gt78Mevqi69LgLdvprTio5ZPGw=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhWJ_MeZ3qMJuj4T5XrnbYOCpz1B7RFBr6MM7DElITIPXf61Wgl9_Q-ScGunQCzj-fysNhA9srqR5LsYnNA33CvVRuo8Ih3wQyuZ1Yk56NZrS-JZ5x2gL8U5Q-WUi3XXEFo-gZmrPnr_RfJ9opD09d48ko_cHJu6hO5Gt78Mevqi69LgLdvprTio5ZPGw=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/11/ccm-yajifungia-siku-tatu-kuwapiga-msasa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/11/ccm-yajifungia-siku-tatu-kuwapiga-msasa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy