KIKOSI cha timu ya taifa chini ya miaka 23 leo Agosti Mosi kimewasili Tanzania kikitokea nchini Ethiopia ambapo kimetwaa taji la Cecafa...
KIKOSI cha timu ya taifa chini ya miaka 23 leo Agosti Mosi kimewasili Tanzania kikitokea nchini Ethiopia ambapo kimetwaa taji la Cecafa.
Ushindi wa penalti 6-5 mbele ya Burundi uliwapa nafasi ya kutwaaa taji hilo.
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF), Wallace Karia amesema kuwa ni jambo la furaha kwa ushindi waliopata.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS