AMBUNDO: TUTAFANYA VIZURI, LEO YANGA KAZINI KWA MKAPA

 DICKSON Ambundo, kiungo mshambuliaji ndani ya Yanga amesema kuwa imani yao ni kuweza kufanya vizuri katika men zao za Kagame pamoja na mash...

 DICKSON Ambundo, kiungo mshambuliaji ndani ya Yanga amesema kuwa imani yao ni kuweza kufanya vizuri katika men zao za Kagame pamoja na mashindano ya ligi.



Ambundo ni ingizo jipya ndani ya Yanga ambapo aliibuka hapo akitokea ndani ya Klabu ya Dodoma Jiji na amepewa dili la miaka miwili.


Katika mchezo wao wa kwanza wa Kagame mbele ya Big Bullets waligawana pointi mojamoja kwa kufunga bao 1-1, Uwanja wa Mkapa. 


Nyota huyo amesema:"Kila kitu kinakwenda sawa na tunaamini kwamba tutafanya vizuri kwa mechi ambazo tutacheza kikubwa ni juhudi.


."Mashabiki watupe sapoti tuna amini tutafanya vizuri.  Kikubwa ambacho tunahitaji ni ushindi na kazi bado inaendelea, " amesema.


Leo Yanga itakuwa na mchezo dhidi ya Atlabara Uwanja wa Mkapa saa 1:00 usiku.


Atlabara ilipoteza mchezo wa kwanza dhidi ya Express kwa kufungwa bao moja kwa bila hivyo leo ina kazi ya kusaka ushindi mbele ya Yanga.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly

COMMENTS

BLOGGER
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3420,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,559,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: AMBUNDO: TUTAFANYA VIZURI, LEO YANGA KAZINI KWA MKAPA
AMBUNDO: TUTAFANYA VIZURI, LEO YANGA KAZINI KWA MKAPA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiGCHFt9XSyh7bP3CAa1eixa8RYYCEusJS7OKpcR1zFTE08CRZa2ExwjUxMZLZW0aGUtQuRtAojrpV19DjKTpLRnx9pOHzgpkj_6gGwX0VlAhsCK4DDzOLTKXZ66hnRGs0HU9bLbXzI-Ow5/w640-h568/Screenshot_20210804-130455_Instagram.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiGCHFt9XSyh7bP3CAa1eixa8RYYCEusJS7OKpcR1zFTE08CRZa2ExwjUxMZLZW0aGUtQuRtAojrpV19DjKTpLRnx9pOHzgpkj_6gGwX0VlAhsCK4DDzOLTKXZ66hnRGs0HU9bLbXzI-Ow5/s72-w640-c-h568/Screenshot_20210804-130455_Instagram.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/ambundo-tutafanya-vizuri-leo-yanga.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/ambundo-tutafanya-vizuri-leo-yanga.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy