EPL, SERIE A NA LALIGA NI MWENDO MDUNDO
HomeMichezo

EPL, SERIE A NA LALIGA NI MWENDO MDUNDO

  Mashindano ya Ulaya yametamatika na sasa ni muda wa kuvipasha moto viwanja ndani ya Ligi mbalimbali barani Ulaya. Yaliyotokea kwenye Ue...

 


Mashindano ya Ulaya yametamatika na sasa ni muda wa kuvipasha moto viwanja ndani ya Ligi mbalimbali barani Ulaya. Yaliyotokea kwenye Uefa, Europa na Conference League – tunayaacha nyuma na sasa ni muda wa kutengeneza pesa ndani ya EPL, Serie A na LaLiga.

 

Ijumaa hii, Newcastle United kuchuana na Leed Unitedndani ya St. James Park. Timu zote mbili hazijaondoka na pointi 3 kwenye michezo yao mitatu ya awali. Nini kitatokea zitakapokutana timu hizi? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.35 kwa Leeds.

 

Timu mbili zilizopanda daraja msimu huu, kuchuana jumamosi. Norwich vs Watford ndani ya dakika 90. Ile burudani tuliyoipata kwenye Championship, sasa tunaipata kwenye EPL. Ifuate Odds ya 2.17 kwa Norwich ndani ya Meridianbet.


Burnley kuwaalika Arsenal pale Turf Moor. Katika michezo 4 ya mwisho, Burnley kapoteza michezo 3 na kutoka sare mara 1. Arsenal wamepoteza michezo 3 na kushinda 1. Sasa zinakutana uso kwa uso, itakuaje? Mchongo upo kwenye Odds ya 2.10 kwa Arsenal ukiwa na Meridianbet.

 

Jumapili hii mambo yapo ndani ya Serie A! Juventus kupambana na AC Milan. Hizi ni timu kubwa kwenye soka la Italia na dunia kwa ujumla. Huu ni mchezo mkubwa kwa wikiendi hii na hakika, ukibashiri na Meridianbet, unaweza kutengeneza faida kubwa kupitia Odds ya 2.20 ukiifuata Juventus wikiendi hii.

 

Barcelona kuwaalika Granada pale Camp Nou. Bila kujali nani atashinda, zikutanapo timu hizi uhakika wa magoli ni kitu kinachowezekana. Tandaza jamvi lako na Meridianbet kwa kuifuata Odds ya 1.27 kwa Barcelona.

 

 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: EPL, SERIE A NA LALIGA NI MWENDO MDUNDO
EPL, SERIE A NA LALIGA NI MWENDO MDUNDO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjFEtIGHDID_HhSsOlkD4AYkY-qzx8Rfd3FwSQi8WHlFuuxkjI7PaXTjgTfge8I0f702nSZQhgnD0RQHYf-h7eFnqwe5OMg52qzFIsy1q8XJECfZ2sh4iECKQuOX5Szzj87ZoQ0JYbgoeuF/w640-h474/AFP_94E7CB.webp
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjFEtIGHDID_HhSsOlkD4AYkY-qzx8Rfd3FwSQi8WHlFuuxkjI7PaXTjgTfge8I0f702nSZQhgnD0RQHYf-h7eFnqwe5OMg52qzFIsy1q8XJECfZ2sh4iECKQuOX5Szzj87ZoQ0JYbgoeuF/s72-w640-c-h474/AFP_94E7CB.webp
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/epl-serie-na-laliga-ni-mwendo-mdundo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/epl-serie-na-laliga-ni-mwendo-mdundo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy