BAADA ya ubao wa Uwanja wa Mkapa jana Julai 7 kusoma KMC 0-2 Simba kuliwapa furaha mashabiki wa timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier ...
BAADA ya ubao wa Uwanja wa Mkapa jana Julai 7 kusoma KMC 0-2 Simba kuliwapa furaha mashabiki wa timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes na kumfanya wampe mkwanja nyota wa timu hiyo, Clatous Chama
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Chama jana alitoa pasi moja ya bao kwa mshikaji wake Chris Mugalu dk ya 2 na kufanya afikishe jumla ya pasi 14 za mwisho.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS