LEO Septemba 27, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Kim Poulsen ametangaza kikosi cha timu ya taifa kwa ajili ya mch...
LEO Septemba 27, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Kim Poulsen ametangaza kikosi cha timu ya taifa kwa ajili ya mchezo dhidi ya Benin.
Mchezo huo ni kwa ajili ya kufuzu Kombe la Dunia na umejumuisha wachezaji hawa:-
Aishi Manula, (Simba) Metacha Mnata, (Polisi Tanzania) Wilbol Maseke, (Azam FC) na Ramadhan Kabwili, (Yanga) kwa upande wa makipa.
Shomari Kapombe, (Simba), Bakari Mwamnyeto, (Yanga), Israel Mwenda, (Simba),Erasto Nyoni, (Simba),Dickosn Job, (Yanga)
Keneddy Juma, (Simba), Lusajo Mwaikenda, (Azam FC), Mohamed Hussein, (Simba), Edward Manyama, (Azam FC), Nickson Kibabage, (KMC).
Mastaa wengine ni Meshack Mwamita, (Kagera Sugar) Novatus Dismas, (Maccabi Tel Aviv ya Israel)
Mzamiru Yassin, (Simba) Jonas Mkude,(Simba) Feisal Salum, (Yanga), John Bocco, (Simba) Idd Seleman, (Azam FC) Abdul Hamis Suleiman, (Coastal Union).
Yupo nahodha Mbwana Samatta, (Royal Antwerp-Ubelgiji) Reliant Lusajo, (Namungo) pamoja na Simon Msuva, (Wydad Casablanca).
Imeandikwa na Dizo Click
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS