MSHAURI Mkuu wa Klabu ya Yanga kuelekea kwenye mabadiliko, Senzo Mbatha amesema kuwa kusaini dili lenye thamani ya bilioni 41 na Azam Media...
MSHAURI Mkuu wa Klabu ya Yanga kuelekea kwenye mabadiliko, Senzo Mbatha amesema kuwa kusaini dili lenye thamani ya bilioni 41 na Azam Media kwa kipindi cha miaka 10, jana Julai 8 kuhusu mahudhui kwao ni furaha kwa sababu kila jambo ambalo linafanyika ni lazima litangazwe ili wale waliopo pia kijijini waweze kuona kinachoendelea.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS