UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba haikuwa maneno matupu bali walikuwa na mipango ya kuweza kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara jambo ambalo l...
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba haikuwa maneno matupu bali walikuwa na mipango ya kuweza kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara jambo ambalo limewafanya washindwe kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara ni kushindwa kupata pointi kwenye baadhi ya mechi.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Pia kuhusu changamoto ambazo zimejitokeza wameahidi kuzifanyia kazi wakati ujao pale ambapo walikosea, Kuhusu suala la usajili wameweka wazi kwamba katika kujenga kikosi timu haijengwi siku moja hivyo watu wanapasa waelewe.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS