MAMBO MAGUMU, MASTAA YANGA KUKATWA MISHAHARA KISA KIWANGO
HomeMichezo

MAMBO MAGUMU, MASTAA YANGA KUKATWA MISHAHARA KISA KIWANGO

  M ASTAA  wa  kimataifa wa Yanga  akiwemo Fiston  Abdoul Razack na  Michael Sarpong,  huenda wakakutana na makato  ya mishahara yao ya k...

YANGA YATAJA UDHAIFU WA SIMBA UTAKAOWAMALIZA KWA MKAPA
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
IFAHAMU SABABU ZA SHOMARI KAPOMBE KUWA NAHODHA WA SIMBA

 


MASTAA wa kimataifa wa Yanga akiwemo Fiston Abdoul Razack na Michael Sarpong, huenda wakakutana na makato ya mishahara yao ya kila mwezi kama timu hiyo ikiendelea na matokeo yasiyoridhisha.

 

Hiyo ikiwa ni siku chache tangu Yanga itoke kupata sare ya bao 1-1 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.


Mara baada ya mchezo huo, mashabiki wa Yanga walionekana kulalamikia viwango vibovu ambavyo wachezaji wao wamevionesha.

 

Kwa mujibu wa taarifa ambazo imezipata Spoti Xtra, uongozi wa timu hiyo umepanga kufuata makubaliano yaliyopo kwenye mikataba waliyoingia nayo wachezaji hao.

 

Mtoa taarifa huyo alisema katika mikataba hiyo waliyoingia nayo wachezaji hao wa kimataifa ni pale wanaposhindwa kuisaidia timu na kuonyesha kiwango, basi watakatwa mishahara kwa kiasi walichokubaliana.

 

Aliongeza kuwa, wachezaji ambao huenda wakakutana na makato hayo ni Fiston na Sarpong wanaocheza nafasi ya ushambuliaji.


“Kwa jinsi inavyoelekea uongozi utarejea kwenye makubaliano ya awali yaliyowekwa katika mikataba ya wachezaji wao wote waliosajiliwa msimu huu.

 

“Makubaliano yaliyowekwa awali katika mikataba yao ni kama mchezaji atashindwa kuisadia timu au kiwango chake kushuka kwa washambuliaji kushindwa kufunga mabao, basi watatakiwa kukatwa mishahara.

 

“Hayo makubaliano yalikuwepo tangu awali, lakini viongozi waliwaachia licha ya wachezaji hao kushindwa kutimiza majukumu yao na hiyo imetokana na baadhi ya wachezaji viwango vyao kushuka,” alisema mtoa taarifa huyo.


Alipotafutwa Mwenyekiti wa Yanga, Dk Mshindo Msolla kuzungumzia hilo, hakupatikana na hakuna kiongozi mwingine wa Yanga aliyekuwa tayari kuzungumza.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MAMBO MAGUMU, MASTAA YANGA KUKATWA MISHAHARA KISA KIWANGO
MAMBO MAGUMU, MASTAA YANGA KUKATWA MISHAHARA KISA KIWANGO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg_4I2mjx0OjekQFn_QwgHt3PN4SzUezAoI81qj8SSrtySYfD6u8a8eCFhnOwPgC7Z1Z4Qh30dG236hYN1yooERNuygygfhtULLg56_EMz2ULekws08n4tmNj8eWycWmsHqlUc3pavMFL74/w640-h528/Fiston+v+KMC.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg_4I2mjx0OjekQFn_QwgHt3PN4SzUezAoI81qj8SSrtySYfD6u8a8eCFhnOwPgC7Z1Z4Qh30dG236hYN1yooERNuygygfhtULLg56_EMz2ULekws08n4tmNj8eWycWmsHqlUc3pavMFL74/s72-w640-c-h528/Fiston+v+KMC.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/mambo-magumu-mastaa-yanga-kukatwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/mambo-magumu-mastaa-yanga-kukatwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy