UWANJA WA KIRUMBA CAF YAUKATAA, BIASHARA SASA NI DAR
HomeMichezo

UWANJA WA KIRUMBA CAF YAUKATAA, BIASHARA SASA NI DAR

  BIASHARA United haitaweza tena kucheza mechi zao za Kombe la Shirikisho Afrika kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza kama ilivyoku...

YANGA YATAJA POINTI INAZOZITAKA BONGO NDANI YA LIGI
KMC YATENGA DAKIKA 180 ZA USHINDI
VIDEO: YANGA YAIPONGEZA SIMBA KUTWAA UBINGWA,TUKUTANE KIGOMA

 BIASHARA United haitaweza tena kucheza mechi zao za Kombe la Shirikisho Afrika kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza kama ilivyokuwa mipango yao baada ya CAF kuukataa uwanja huo na sasa wawakilishi hao watakipiga jijini Dar es Salaam.

 

Tayari timu hiyo ilishaweka kambi jijini Mwanza kwa wiki mbili, lakini wameambiwa mechi yao ya awali dhidi ya FC Dikhil ya Djibouti itapigwa Benjamin Mkapa, kwa vile Kirumba imeshindwa kukidhi vigezo vilivyotakiwa.

 

Meneja na Mratibu wa Biashara United amesema wamelazimika kubadili kila kitu kwani walikuwa Kirumba kwa zaidi ya siku 10 na wachezaji walikuwa wamezoea mazingira hayo hivyo wapo kwenye hatua za mwisho za kuhamishia kambi Dar ili kuanza upya maandalizi.


Timu hiyo ni miongoni mwa zile nne kutoka Tanzania zitakazopeperusha bendera ya Tanzania katika anga za kimataifa msimu wa 2021/22.


Ni Simba na Yanga kwenye hatua za Ligi ya Mabingwa Afrika na Azam FC na Biashara United katika hatua ya Kombe la Shirikisho.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: UWANJA WA KIRUMBA CAF YAUKATAA, BIASHARA SASA NI DAR
UWANJA WA KIRUMBA CAF YAUKATAA, BIASHARA SASA NI DAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiezqV3QNaPLFYX3yt_Y795oTmIXRoVRoZ5JEFVppxBrU1gloXKiaTcEGc0cLmX8U70tLoZ1UXbh-N6E6ZcEtQ3-PHDDEOhNl41oodu84gtF3qz1wgw2oMtMNvyzNcexNuIzEpFrWYKK0LB/w640-h360/kirumba.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiezqV3QNaPLFYX3yt_Y795oTmIXRoVRoZ5JEFVppxBrU1gloXKiaTcEGc0cLmX8U70tLoZ1UXbh-N6E6ZcEtQ3-PHDDEOhNl41oodu84gtF3qz1wgw2oMtMNvyzNcexNuIzEpFrWYKK0LB/s72-w640-c-h360/kirumba.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/uwanja-wa-kirumba-caf-yaukataa-biashara.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/uwanja-wa-kirumba-caf-yaukataa-biashara.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy