MENEJA wa kipa wa Yanga, Metacha Mnata ambaye ni Jemedar Said amesema kuwa mchezaji wake huyo anawadai mabosi wake kwa muda mrefu na alichez...
MENEJA wa kipa wa Yanga, Metacha Mnata ambaye ni Jemedar Said amesema kuwa mchezaji wake huyo anawadai mabosi wake kwa muda mrefu na alicheza msimu uliopita bila kulipwa. Pia meneja huyo amesema kuwa alimwambia Mnata alichokifanya hakikuwa kizuri.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS