ERASTO Nyoni, kiraka wa Simba amesema kuwa Azam FC ni timu nzuri na Simba ni timu nzuri zaidi,huku akiweka wazi kuwa wapinzani wao Azam FC w...
ERASTO Nyoni, kiraka wa Simba amesema kuwa Azam FC ni timu nzuri na Simba ni timu nzuri zaidi,huku akiweka wazi kuwa wapinzani wao Azam FC walijiandaa kupata matokeo jambo ambalo lilifanya mchezo huo uwe na ushindani.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Julai 15, ubao wa Uwanja wa Azam Complex ulisoma Azam FC 1-1 Simba. Kuelekea kwenye mchezo wao wa Jumapili dhidi ya Namungo FC amewaomba mashabiki wajitokeze kwa wingi.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS