LEO Februari 4, 2021 viwanja viwili vitakuwa na kazi ya kuhimili vishindo vya Wanaume 44 ambapo kila kiwanja kitakuwa na kazi ya kuhimi...
LEO Februari 4, 2021 viwanja viwili vitakuwa na kazi ya kuhimili vishindo vya Wanaume 44 ambapo kila kiwanja kitakuwa na kazi ya kuhimili vishindo vya Wanaume 22.
Mechi mbili za Ligi Kuu Bara zinatarajiwa kuchezwa ambapo zote ni viporo vya mzunguko wa Kwanza, itakuwa namna hii:-
KMC itawakaribisha Namungo FC, Uwanja wa Uhuru.
Dodoma Jiji FC itawakaribisha Simba, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS