SHABIKI wa Yanga maarufu kama Mzee wa Utopolo amesema kuwa hawana mashaka kuelekea mchezo wa kesho wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba unaotaraj...
SHABIKI wa Yanga maarufu kama Mzee wa Utopolo amesema kuwa hawana mashaka kuelekea mchezo wa kesho wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Pia ameweka wazi kwamba hana mashaka na Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara kwa kuwa aliomba kuonana naye na namba ambayo ametoa haipatikani.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS